ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Marekani na Israel kwako ni watu gani, wanafadhili nini?Gaidi ni Ayatollah anayefadhili magaidi
Marekani na Israel kwako ni watu gani, wanafadhili nini?Gaidi ni Ayatollah anayefadhili magaidi
Kwanini ukipewa nafasi muda huu ukaishi Marekani,Canada na nchi za magharibi au ukaishi uarabuni, unakimbilia USA na magharibi?Marekani na Israel kwako ni watu gani, wanafadhili nini?
Umetoka nje ya mada mkuu, swala la kuishi ulaya marekani au uarabuni havihusiani na tulichokuwa tunaargue.Kwanini ukipewa nafasi muda huu ukaishi Marekani,Canada na nchi za magharibi au ukaishi uarabuni, unakimbilia USA na magharibi?
Unaogopa nini
There are recent rumors from Iranian media claiming that Benjamin Netanyahu may have been killed or injured, but these reports lack credible evidence and have been dismissed as false speculation. As of now, Netanyahu has made public statements and is actively involved in government activities.This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.
Hapo unazungumzia watu wawili tofauti kabisa, kwanza hilo ulitambueKwanini Khamenei awe gaidi na Netanyahu asiwe gaidi?
Wangekuwa mtu mmoja hilo swali lisingekuwepo mkuu.Hapo unazungumzia watu wawili tofauti kabisa, kwanza hilo ulitambue
Huenda hata yule US wenyewe hususan trump atakua kamuuza kiaina, ili aondolewe maana jamaa inasemekana alikua akimblackmail trumpHuyo huenda kweli kaliwa kichwa na ni ndio maana wamejibu hizo taarifa ni "UNCORFIRMED " badala ya kukanusa kuwa haujauwawa.
Huenda Mungu aliruhusu hii vita ili Netanyau auwawe na unwagaji damu ukome katika hilo eneo
US akishajua nguvu na uwezo wa Jeshi la Iran, atakuwa mpole ghafla na kuomba mazungumzo vita iishe
Muda utasema.
Khamenei ni MuIran ambae amewahi kuua raia wake wakiwa wanaandama mara kadhaa na amekua akilalamikiwa mara kadhaa, Netanyahu hakuna mahara umesikia ameua raia walioandamana au kuna raia walioandamana kwa kumpinga au kutokukubariana nae akaamua kuwaua, tofautisha hao watu, ninaposema raia namaanisha raia wa nchi yake, elewaWangekuwa mtu mmoja hilo swali lisingekuwepo mkuu.
Kwa sababu netanyau yeye kuua katumwa na MunguUmetoka nje ya mada mkuu, swala la kuishi ulaya marekani au uarabuni havihusiani na tulichokuwa tunaargue.
Kwanini Khamenei awe gaidi na Netanyahu asiwe gaidi?
Huenda hata yule US wenyewe hususan trump atakua kamuuza kiaina, ili aondolewe maana jamaa inasemekana alikua akimblackmail trump
Endelea kujitia moyo muda utaongeaPropaganda hizo Mzee ,, Israel hawwajajibu maana inajulikana ni ujinga tu
Hizo screenshot ni fabricated
Shida huku hakuna AI ya kukanusha na kuwasaidieni kama X ilivyo community notes
Ndio maana mandanganywa tu
Asante kwa kumjibia huyu mwamba😅😅Kwa sababu netanyau yeye kuua katumwa na Mungu
Video ya AI ndo video ya kuhutubia taifa... we are not stupid mzeeCurrent Status of Benjamin Netanyahu
Recent Speculations
Recent reports from Iranian media have falsely claimed that Benjamin Netanyahu may have been killed or injured. These claims are based on circumstantial evidence, such as a lack of recent video footage and increased security around his residence. However, no credible evidence supports these allegations.
Official Confirmation
As of now, Benjamin Netanyahu is alive. He made a public statement on March 7, 2026, and has been active in addressing the nation amid ongoing conflicts. Reports confirm his presence at various events, including a visit to an impact site in Beersheba on March 6.
Context of Rumors
Such rumors often arise during wartime and are typically dismissed as misinformation. The Israeli government has not confirmed any incidents that would suggest harm to Netanyahu. The speculation appears to be part of a broader pattern of disinformation during the current Israel-Iran conflict.
In summary, Benjamin Netanyahu is currently alive and continues to serve as the Prime Minister of Israel.
The Jerusalem Post
Ukiona hawajaconfirm wahusika punguza kujipiga vidole mwisho utaanza kunuka akija akajitokeza utajifichia wapi hapo Kimara Korogwe Darajani?Endelea kujitia moyo muda utaongea
Tukisema walokole ni wehu tunaonekana wabaya😅Asante kwa kumjibia huyu mwamba😅😅
Netanyahu kauwa maelfu ya watu middle east, yeye sio gaidi ila Khamenei kufadhili makundi ya kiislam na kuuwa watu yeye ni gaidi.
Wewe tulia km amekufa watasema km ni mzima pia watasema, unapupulika nini?Video ya AI ndo video ya kuhutubia taifa... we are not stupid mzee
Bado hizi sio sababu za mmoja kuitwa gaidi na mwingine asiwe. Aim is to kill innocent civilians na wote wameuwa..Khamenei ni MuIran ambae amewahi kuua raia wake wakiwa wanaandama mara kadhaa na amekua akilalamikiwa mara kadhaa, Netanyahu hakuna mahara umesikia ameua raia walioandamana au kuna raia walioandamana kwa kumpinga au kutokukubariana nae akaamua kuwaua, tofautisha hao watu, ninaposema raia namaanisha raia wa nchi yake, elewa
Kwa hio unakubari kwamba Khamenei ni Gaidi? Sema hapana halafu tuendeleeBado hizi sio sababu za mmoja kuitwa gaidi na mwingine asiwe. Aim is to kill innocent civilians na wote wameuwa..
Anaweza kufa pia kama wa Iran alivyouwawa, mabomu si yanatua pia Israel? Lolote linawezekana ndo maana hakai kizembe zembe.Propaganda za kitoto
Pro Iran wameuliwa viongozi wao karibu wote ,Motjaba anajificha
Hivo wanataman sana Waue hata balozi wa nyumba kumi wa Israel kitu ambacho Iran hana uwezo nacho
ili kujifariji wanazusha Netanyau kafa🤣
Amejitokeza wanasema ni AI