Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hivi salma sio mke wa mtu? Kama nakumbuka aliolewaga[emoji848]Kana akili kale kachaga. Kangeingia mfumo wa baby mama sasa hivi angekua analia na roho yake.
Japo wanasema sio kweli kuhusu hilo.
Salma kazaa na mwanaume aliezaa nae mtoto wa pili