Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni

Jamani siyo kosa lake amengia jana tu humu ndani, anataka kupost ujinga ujinga wake wa facebook kwanza, form iv 2013 hawajafanya mtihani bado
 
Necta mbna wanatuzingua tangu saa 8 bado wanaya upload 2 kah!
 
tatizo ni mimi kutoa taarifa ya uchakachuzi wa NECTA na dhuluma zao dhidi ya waislam au? teh teh teh!
nilipata 4 form 4 kwasababu jina langu ni la kiislam, naitwa Dullah

pumbav wewe,mbulula mkubwa badala ya kusoma wewe ulikua unaenda madrasa utafaulu kvp???? Tena ucjiaibishe eti kisa we muislam ukapata 4. Hv? Rais na makam wake c waislam? Wazri wa elmu pia c muislam? Sasa mnaonewa vp?

Acha kwenda madrasa nenda tuition utafaulu upo hapo?
 
Dogo umekosea njia, sio huku, gfsonwin na snowhite njooni mumchukue mwanenu mkamfanyie couselling, stress zitamuua ohoo... !!!
 
Last edited by a moderator:
hamna mkuu, hao wazazi wao walikuwa na hela wakawapeleka misri kusoma, uku NECTA mfumo kristo unatuumiza sana
 
Matatizo kweli aisee, hadhi ya jf inashuka sasa, kwanza anadai yatangazwa redio, pili muda wowote yatawekwa mtandaoni, huyu ni...................maana hana hadhi ya ugreat thinker.
 

Kaka we usimjibu, Thread isije ikafutwa bure kwa ajili watu wenye akili kama hz.
 
How comes kwamba haya matokeo yapo JF tu kwenye mtandao wa baraza wala wizara hayapo? What is going on here? Hebu tujuzeni nyie mliyepo baraza, ni kwa vipi matokeo yanatangazwa halafu kwenye mtandao hayapo?
 
hamna mkuu, hao wazazi wao walikuwa na hela wakawapeleka misri kusoma, uku NECTA mfumo kristo unatuumiza sana
Tuna madokta na maprofessor wengi tu ambao ni wa kiislamu na walisoma katika shule za serikali za kawaida kabisa. Nina marafiki zangu ambao nilisoma nao O-level ni waislam na sasa ni madokta. Huo mfumo kristo wa baraza haukuwaona hawa wote uje uwaone ninyi tu? Nyie mnalala kwenye ngoma halafu mnataka mfaulu?
 
hao ndo ninaosema siku zote,wanafikiria kupitia a**ss zao badala ya kutumia ubongo,maudhi tu siku hizi,
 
:smiling::glasses-nerdy::glasses-nerdy: hawa majamaa wanasubili kwa hamu hebu acha kuwa panikisha, umesikia kweli redioni?, na ni redio gani?
 
nyie mnaomtukana mleta thread ndio vilaza wakubwa!

kwani haya matokeo yatatoka mwaka upi?? hebu someni hiyo title ya thread mnionyeshe alipokosea.

mtihani ndio uliofanyika 2012 lakini matokeo ni ya 2013......mnajinadi kuwa ni Great thinkers kumbe ni vilaza wakuu,ngoja niwabadilishie kibao!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…