Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni
Jamani siyo kosa lake amengia jana tu humu ndani, anataka kupost ujinga ujinga wake wa facebook kwanza, form iv 2013 hawajafanya mtihani bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni
Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni
tatizo ni mimi kutoa taarifa ya uchakachuzi wa NECTA na dhuluma zao dhidi ya waislam au? teh teh teh!
nilipata 4 form 4 kwasababu jina langu ni la kiislam, naitwa Dullah
hamna mkuu, hao wazazi wao walikuwa na hela wakawapeleka misri kusoma, uku NECTA mfumo kristo unatuumiza sanapumbav wewe,mbulula mkubwa badala ya kusoma wewe ulikua unaenda madrasa utafaulu kvp???? Tena ucjiaibishe eti kisa we muislam ukapata 4. Hv? Rais na makam wake c waislam? Wazri wa elmu pia c muislam? Sasa mnaonewa vp?
Acha kwenda madrasa nenda tuition utafaulu upo hapo?
Necta mbna wanatuzingua tangu saa 8 bado wanaya upload 2 kah!
pumbav wewe,mbulula mkubwa badala ya kusoma wewe ulikua unaenda madrasa utafaulu kvp???? Tena ucjiaibishe eti kisa we muislam ukapata 4. Hv? Rais na makam wake c waislam? Wazri wa elmu pia c muislam? Sasa mnaonewa vp?
Acha kwenda madrasa nenda tuition utafaulu upo hapo?
Tuna madokta na maprofessor wengi tu ambao ni wa kiislamu na walisoma katika shule za serikali za kawaida kabisa. Nina marafiki zangu ambao nilisoma nao O-level ni waislam na sasa ni madokta. Huo mfumo kristo wa baraza haukuwaona hawa wote uje uwaone ninyi tu? Nyie mnalala kwenye ngoma halafu mnataka mfaulu?hamna mkuu, hao wazazi wao walikuwa na hela wakawapeleka misri kusoma, uku NECTA mfumo kristo unatuumiza sana