Innocentinno
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 354
- 312
Dahh! Ts true necta wana website yao xo we have 2 wait it
"NO HURRY IN AFRICA"
Kwa nini?matokeo ya kidato cha nne hayatangazwi mpaka leo wakati walisema ni tarehe 8 yatakuwa displayed
Jamani Matokeo bado hayajatoka, yangekuwa tayari si mngewaona hawa ndugu zetu wakiandamana kuwa wamefelishwa makusudi. Wakati wenzao wanapiga book kujiandaa na exam wao wanakaa kujipanga namna watakavyoandamana matokeo yakitoka. Ama kweli munyaaaazi mungu ana watu.
teh teh teh teh!
hutaki kusikia ukweli, mou na necta ni mali za wakatoliki, hehehehehe
Wayatoe hata Mei
eti nmesikia yanatoka leo kweli?