andrewchiwalanga
New Member
- Feb 9, 2013
- 4
- 0
yatoke tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa! Mkuu kumbe kaka yako nilipoenda kulala ndo ukabaki unawaka hivyo?!Wee dogo tuheshimiane! Hivi unajua maana ya matokeo wewe? Kama hujui nenda kawaulize wenzako, usiniletee utotoutoto wako hapa!
Kama hayo siyo matokeo sasa baraza linayataja yanini? Kwanini listangaze tu idadi ya div one na div two? Mmemaliza form four juzi, mnataka kujifanya wajuaji. Unikome!
Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
UPDATE:
Jan 08, 2013
Wapendwa great thinkers! Mie hii FB page ya NECTA nasita kuiamini kabisa. Tangu last year ina operate kama kiinimacho fulani hivi wenye taarifa za kubahatisha kama tulizonazo wengi wetu, na wanaoi'operate' sio watu wa NECTA! Kwa kifupi hii page nayo ni janga la taifa!
Activister mbona bado kimya kunani?
Presha inapanda... Presha inashuka....