Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
nna hisi kukosewa kwa somo la dini kwenye kusahihishwa kwa form 6 2012 kitendo hicho hakikuwa poa ila waislam 2kazeni msuli c kubweteka na vicngizio m2 atavuna alichopanda tu
 
Tumechoka mala j3 mala mwisho wa mwezi February haaa tuwaelewe vp sasa
 
Wee dogo tuheshimiane! Hivi unajua maana ya matokeo wewe? Kama hujui nenda kawaulize wenzako, usiniletee utotoutoto wako hapa!
Kama hayo siyo matokeo sasa baraza linayataja yanini? Kwanini listangaze tu idadi ya div one na div two? Mmemaliza form four juzi, mnataka kujifanya wajuaji. Unikome!
Haa! Mkuu kumbe kaka yako nilipoenda kulala ndo ukabaki unawaka hivyo?!

Uishie hapo kuniita mimi dogo unasikia wewe?!! Ila nimekusamehe Mkuu!!
 
Wapendwa great thinkers! Mie hii FB page ya NECTA nasita kuiamini kabisa. Tangu last year ina operate kama kiinimacho fulani hivi wenye taarifa za kubahatisha kama tulizonazo wengi wetu, na wanaoi'operate' sio watu wa NECTA! Kwa kifupi hii page nayo ni janga la taifa!

Ni kweli kabisa nimechunguza kwa makini nimegundua kuwa NECTA hawana Facebook Page, Inaonekana kuna kichaa mmoja kairegister kwenye facebook kama ndio yeye Necta.

Kuchunguza ni rahisi sana, hebu linganisha details za kwenye hiyo page ya fb na zile za kwenye site ya Necta utaona vitu tofauti kabisaaaaaaa. Tungemjua huyu kichaa sijui tumchukulie hatua gani.
 
hapa kunawatoto tu wanacheza kidali pooo! Hebuniwapishe ngoma ya watoto haikeshi
 
Naamini waliopata zero wana akili na busara kuliko Makinda na ******
 
Dahh! Ts true necta wana website yao xo we have 2 wait it
"NO HURRY IN AFRICA"
 
nayaweka humu humu subiriane niaminini. ngoja net ikae poua ni ya uplod
 
Huu ni uongo,nina rafiki zangu wanaosoma hizo shule lakini hakuna watu waliomaliza wenye hayo majina:A S 114:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom