Green chlorine
Member
- Feb 3, 2013
- 8
- 0
Hili swala la kuweka na Muda ni hatari sana!!
Kuna mtoto hapa mtaani kwetu juzi aliambiwa na wenzake kuwa majibu yametoka; kilichotokea alidondoka na kupoteza fahamu na alipofikishwa hospitali aligundulika kuwa ana tatizo la PRESSURE ya kushuka. Lakini hana historia ya ugonjwa huo.
Inelekea matokeo haya yanaweza yakatoka na 'misiba' pia!!!