Green chlorine
Member
- Feb 3, 2013
- 8
- 0
Hili swala la kuweka na Muda ni hatari sana!!
Kuna mtoto hapa mtaani kwetu juzi aliambiwa na wenzake kuwa majibu yametoka; kilichotokea alidondoka na kupoteza fahamu na alipofikishwa hospitali aligundulika kuwa ana tatizo la PRESSURE ya kushuka. Lakini hana historia ya ugonjwa huo.
Inelekea matokeo haya yanaweza yakatoka na 'misiba' pia!!!
Hiyo kweli naona madukani wasitishe kuuza sumu za panya kwa mda maana ni hataaree
