BARAZA LA MITIHANI LAIKANA PAGE YA FACEBOOK INAYOTUMIA JINA LAKE
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema matokeo ya kidato cha nne bado hayajakamilika na kuwa habari zilizozagaa wiki hii kuwa yapo tayari si za kweli.
H
Come down,kusahihisha mwaka huu hatutaki kumuonea mtu,kila mtoto avune alichopanda,tambua mwaka huu watoto wanaingia f.5 mwezi wa saba hivyo hatuna haraka kabisaa,lakini kama mnataka matokea mkitulazimisha ata leo tunaweza kuyatoa kama kawaida yetu.hvyo kuweni wavumilivu tusahihishe kwa utulivu.
usiwe na akili fupi matokeo sio ya wanaoenda form five tuu
mods, watu kama hawa wana tarnish image na reputation ya jamii forums. Siku zote jf imekuwa chanzo cha habari cha kuaminika. Kuruhusu watu kama hawa waendelee kuuhadaa umma wa wana jf utaishushia hadhi jf na kuonekana kama kijiwe kisicho na mwenyewe! Hili halikubaliki...mtu anakaa chini na kutunga uwongo mkubwa namna hii halafu anaachwa tu? Tena kwenye jukwaa la elimu?
Wakuu invisible, paw na mods wengineo tafadhali wote walioleta utapeli huu na kuleta usumbufu kwa mamilioni ya wazazi, watahiniwa, walezi na wadau wengine wa elimu wapigwe ban ya kueleweka!
Naomba kutoa hoja.
Ok kwa mujibu wa smaneno yako mr safari ni sarari tuambie matokeo ni mwezi wa ngapi!!! Make tumechoka kuambiwa tarehe
Ok kwa mujibu wa smaneno yako mr safari ni sarari tuambie matokeo ni mwezi wa ngapi!!! Make tumechoka kuambiwa tarehe