Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Ila tumesubili sana mpaka tumechoka baraza fanyeni haraka jamani tujue tulichopanda miaka yote ya shule
 
pouwa bana...!!?ngoja tuendelee kuyasubiria hayo matokeo yetu...japo mzuka mkubwa sana wajameni.....
 
BARAZA LA MITIHANI LAIKANA PAGE YA FACEBOOK INAYOTUMIA JINA LAKE
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema matokeo ya kidato cha nne bado hayajakamilika na kuwa habari zilizozagaa wiki hii kuwa yapo tayari si za kweli.

H
 
Come down,ndo tumeanza kusahihisha mwaka huu hatutaki kumuonea mtu,kila mtoto avune alichopanda,tambua mwaka huu watoto wanaingia f.5 mwezi wa saba hivyo hatuna haraka kabisaa,lakini kama mnataka matokea mkitulazimisha ata leo tunaweza kuyatoa kama kawaida yetu.hvyo kuweni wavumilivu tusahihishe kwa utulivu.
 
Come down,kusahihisha mwaka huu hatutaki kumuonea mtu,kila mtoto avune alichopanda,tambua mwaka huu watoto wanaingia f.5 mwezi wa saba hivyo hatuna haraka kabisaa,lakini kama mnataka matokea mkitulazimisha ata leo tunaweza kuyatoa kama kawaida yetu.hvyo kuweni wavumilivu tusahihishe kwa utulivu.
 
usiwe na akili fupi matokeo sio ya wanaoenda form five tuu
 
kama form 6 wameanza paper leo basi leo lazima yatoke amini nachokwambia asilimia mia kufika saa 8 utakuwa na jibu
 
Jamani watao faulu kwenda high school ni july so subiria
 
Ok kwa mujibu wa smaneno yako mr safari ni sarari tuambie matokeo ni mwezi wa ngapi!!! Make tumechoka kuambiwa tarehe
 
Ngoja ngoja hii ya danganya toto mpaka lini mbona tunachoka jaman, mara yatatoka leo mara kesho, wizara tuambien chakueleweka.
 
mods, watu kama hawa wana tarnish image na reputation ya jamii forums. Siku zote jf imekuwa chanzo cha habari cha kuaminika. Kuruhusu watu kama hawa waendelee kuuhadaa umma wa wana jf utaishushia hadhi jf na kuonekana kama kijiwe kisicho na mwenyewe! Hili halikubaliki...mtu anakaa chini na kutunga uwongo mkubwa namna hii halafu anaachwa tu? Tena kwenye jukwaa la elimu?

Wakuu invisible, paw na mods wengineo tafadhali wote walioleta utapeli huu na kuleta usumbufu kwa mamilioni ya wazazi, watahiniwa, walezi na wadau wengine wa elimu wapigwe ban ya kueleweka!

Naomba kutoa hoja.

"seconded"
 
Ok kwa mujibu wa smaneno yako mr safari ni sarari tuambie matokeo ni mwezi wa ngapi!!! Make tumechoka kuambiwa tarehe

Alichokuambia Safari_ni_Safari umekielwea? Tatizo mnapenda kupata na kuamini sana habari za vichochoroni halafu mnazileta hapa kushusha hadhi ya JF...Sasa kama huyualiyetudanganya yupo kwenye press conference na Katibu Mtendaji na akatuandikia top ten na wanafunzi waliofanya vizuri, bado uzi unaachwa tu uendelee kupotosha mamilioni y wadau sijui mods wamelala...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom