Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Naona shule zangu za Forest hill (O-level) na Tosamaganga boys (A-level) hazipo kabisa kwenye top ten!!!!!!
tetesi zinazidi kusambaa kwamba matokeo ya kidato cha nne yatatoka leo,lakini kwa hali alisi inayoendelea mpaka sasa naonakama tetesi zilizopo sizakweli,je ww ndugu unaonaje?
waliofaulu 54% kati yao ni 5% tu ya muslim waliofaulu.....
mh! unanistua kdgo ERIC JOSEPH, na wewe ulishakuwa mzazi tayari mwenye mtoto wa kumaliza form 4? si majuzi tu mwaja jana mwezi wa august ulikuja hapa jamvini ukitaka ushauri wa kumuoa mdada wa kirangi?...keshakuzalia mtoto wa kufikia umri wa kumaliza fom 4 muda huu tayari?....kama ndo ivo basi hongera sana maana mtakuwa mlizaa bloira!...miezi mitano tu mpaka fomu 4 kamaliza!Mkuu tuweke wazi mana hali imebadilika sasa presha ipo juu sana na moyo unaumia.naomba tujuze lini yatakuwa hewan kusudi tujue na wazaz jujipange mana nayo maisha magumu
nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza
Wataandamana kama desturi yao
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hapa Ustaadh Ilunga amepata kwa kusemea. Kuna kila dalili za mfumo kristo kwenye haya matokeo. Labda tusubiri wamalize kutangaza lakini ukishaona shule za ST zimekuwa nyingi ujue mfumo kristo unafanya kazi kwa mujibu wa Ilunga.
Nina wasiwasi na hatima ya Ndalichako kwa matokeo haya...
ndio kusema ndalichako apindue matokeo ili kuwafurahishaaa kina ilunga?
Kuwa na subila ndg yng hata sisi presha ipo juu ila tunajipa moyo
yametoka tangu juzi
nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza
Katavi bwana....hayajekwa..........
acha uongo kibosho haipo nakunya hapanipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza