Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
tetesi zinazidi kusambaa kwamba matokeo ya kidato cha nne yatatoka leo,lakini kwa hali alisi inayoendelea mpaka sasa naonakama tetesi zilizopo sizakweli,je ww ndugu unaonaje?
 
Kwa mwaka 2012-'13 shule bora zang'ara kwa kufaurisha wanafunzi wengi,shule hizo ni za watu binafsi.
Shule za KATA kwa asilimia 53% zaongoza kufelisha wanafunzi.

Soon kuanzia sasa matokeo yatatangazwa kupitia vyombo vya habari,pia
kupitia social website,

kupitia http/moe.go.tz website hii imefungwa kwa mda mpaka pale watakapo maliza kuyapost kwenye website hiyo.

Unaweza kupitia pia http/www.necta.go.tz kuangalia new information.

"ni information nilopewa na mmoja wa mwl mhusika ktk uhakiki wa mtihani,mh jumanne k manambe
 
Mkuu tuweke wazi mana hali imebadilika sasa presha ipo juu sana na moyo unaumia.naomba tujuze lini yatakuwa hewan kusudi tujue na wazaz jujipange mana nayo maisha magumu
mh! unanistua kdgo ERIC JOSEPH, na wewe ulishakuwa mzazi tayari mwenye mtoto wa kumaliza form 4? si majuzi tu mwaja jana mwezi wa august ulikuja hapa jamvini ukitaka ushauri wa kumuoa mdada wa kirangi?...keshakuzalia mtoto wa kufikia umri wa kumaliza fom 4 muda huu tayari?....kama ndo ivo basi hongera sana maana mtakuwa mlizaa bloira!...miezi mitano tu mpaka fomu 4 kamaliza!
 
Last edited by a moderator:
nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza

Hapa Ustaadh Ilunga amepata kwa kusemea. Kuna kila dalili za mfumo kristo kwenye haya matokeo. Labda tusubiri wamalize kutangaza lakini ukishaona shule za ST zimekuwa nyingi ujue mfumo kristo unafanya kazi kwa mujibu wa Ilunga.

Nina wasiwasi na hatima ya Ndalichako kwa matokeo haya...
 
hayajatoka,ila ndo yanatazamiwa kutoka hv karibuni....vuta subira yakitoka utaona tu link humu jukwaani.
 
Hapa Ustaadh Ilunga amepata kwa kusemea. Kuna kila dalili za mfumo kristo kwenye haya matokeo. Labda tusubiri wamalize kutangaza lakini ukishaona shule za ST zimekuwa nyingi ujue mfumo kristo unafanya kazi kwa mujibu wa Ilunga.

Nina wasiwasi na hatima ya Ndalichako kwa matokeo haya...

ndio kusema ndalichako apindue matokeo ili kuwafurahishaaa kina ilunga?
 
nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza

mzumbe ajamaliza ulapi
 
kupitia page ya facebook ya necta,wamesema wanatoa leo muda wowote hivo wa kusoma mvute subira kidogo,mvune mlichopanda
 
nipo hapa katika ukumbi na katibu ndo anatueleza hayo matokeo so nimeamua kuwapasha japo kidogo,asilimia 50.02 ya watahiniwa wamefaulu,shule za binafsi zang'ara na za vipaji maalumu..top ten ina shule za St.francis,Marian,Feza boys,st.Joseph Millenium,Abbey,St.Mary Goreth,Kandoto girls,Mzumbe,kibaha,Ilboru na wanafunzi bora ni Mary A . ndona(st.francis),rebecca nsingwe(marian),Joseph Ulapi(Mzumbe),Ismail Kandeya(Arusha day),Martin kaimbo(kibaha)..ntazid kuwajuza
acha uongo kibosho haipo nakunya hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom