Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnaturusha roho wazazi
jamani basi yawekwe mtandaoni,watu tujijue mapema.
Why sir?Dr ndalichako ajiuzulu
Hayawezi kuwekwa kwenye mtandao mpk waziri mwenye dhamana aongee na waandishi kwanza
waliofaulu 54% kati yao ni 5% tu ya muslim waliofaulu.....
Mtandaoni hayajawekwa...??
Hapana Mkuu, mwenye dhamana na matokeo haya ni Katibu Mtendaji. Kwenye mtandao pia yanakuwepo though huwezi kuya access hadi watu wa IT waruhusu yaonekane na kwa uzoefu hilo linafanyika baada ya press conference....