Dancani
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 796
- 403
Matokeo ya kidato cha nne hayatangazwi na wizara yanatangazwa na NECTAjaman vp mbona jana nimesikia kwamba matokeo yametangazwa na wizara ilikuwa inashughulika kuweka kwa mtandao bt hamna ki2 mpaka sasa!!vp jaman?