Bangi unayovuta si ya dunia hii ππMakerubi wa mwendazake ni mazombie kama tu Makerubi wa Mfalme Zumaridi
Hili code ni la benki kuuBoss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Nani Mzanzibar?Mzanzibar kupewa madaraka makubwa tanganyika hii imekaaje
Shule ulienda kusomea ujinga.Unadhani angekuwa na uhakika wa kuchomoka chadema wangelia mwenyekiti wao kurushiwa taulo? Si wangeacha mahakama itende haki? Shukuruni Mungu kwamba amerushiwa taulo.
Nawewe unaweza kutupa record ni magaidi gani waliowahi kuachwa na serikali bila kuhukumiwa?Unadhani angekuwa na uhakika wa kuchomoka chadema wangelia mwenyekiti wao kurushiwa taulo? Si wangeacha mahakama itende haki? Shukuruni Mungu kwamba amerushiwa taulo.
Nani Mzanzibar?
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Wqtu wakishaona mtu ana majina ya kiislamu basi wanadhani ni mzenji.Kamishina aliyepandishwa juzi
Hata hivyo muda wake wa kustaafu tayari.Wqtu wakishaona mtu ana majina ya kiislamu basi wanadhani ni mzenji.
Kwa kuna madaraka makubwa kuliko aliyonayo Hangaya?Mzanzibar kupewa madaraka makubwa tanganyika hii imekaaje
sidhani...... porojo tu za mitaaniBoss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Naona Jeiwi nao wanastaafu taratibu.... Nako tutasikia timu mpya karibuniBoss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Mama alisema ushahid wanao mbowe hajaonewa akiwa BBC sijui ikoje hii nayoWalimhakikishia ushahidi wa kutosha upo na Mbowe sasa hivi hachomoki.
Masheikh wa uamsho.Nawewe unaweza kutupa record ni magaidi gani waliowahi kuachwa na serikali bila kuhukumiwa?
Heri yako wewe uliyeenda kusomea unyumbu.Shule ulienda kusomea ujinga.