Tetesi: Za ndani kabisa mkuu wa PGO muda wowote kulikwa Kadi nyekundu akifuatiwa na namba tatu katika tasnia hiyohiyo

Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Hili code ni la benki kuu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani angekuwa na uhakika wa kuchomoka chadema wangelia mwenyekiti wao kurushiwa taulo? Si wangeacha mahakama itende haki? Shukuruni Mungu kwamba amerushiwa taulo.
Shule ulienda kusomea ujinga.
 
Unadhani angekuwa na uhakika wa kuchomoka chadema wangelia mwenyekiti wao kurushiwa taulo? Si wangeacha mahakama itende haki? Shukuruni Mungu kwamba amerushiwa taulo.
Nawewe unaweza kutupa record ni magaidi gani waliowahi kuachwa na serikali bila kuhukumiwa?
 
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.[emoji23]
 
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
sidhani...... porojo tu za mitaani
 
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Naona Jeiwi nao wanastaafu taratibu.... Nako tutasikia timu mpya karibuni
 
Back
Top Bottom