Mwemwemwee!! Kweli vumbi vumbi la kwenye vumbi mzalisha vumbi hilo ni huyohuyo vumbi mwenyewe [emoji41]Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Haendi Kanda maarum yule. Viwanda atamuwachia Nani?Arudi Musoma kuendelea na kawaida.
Sasa mpare Ana Shida Gani? Mteuzi Ndio ana Shida zake, apangue Hata Leo, Watu Wako ImaraBoss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Mpare kule kwao tayari ashakua ceremonial, jamaa wa kyabakari kashashauliwa sana amwage daruga hasikii....wote hao soon wanaanza tembelea magari binafsiBoss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Awadhi ni mzaznzibar we jamaa...Kamishna wa Polisi Znz Kamishna Awadh sio Mzanzibar ni mtu wa Singida na kabila moja na Tundu Lissu
Mpare hapana hata ushawishi ndani ya chombo chake ashapoteza...........Sasa mpare Ana Shida Gani? Mteuzi Ndio ana Shida zake, apangue Hata Leo, Watu Wako Imara
Sent using Jamii Forums mobile app
ItakuwaMpare hapana hata ushawishi ndani ya chombo chake ashapoteza...........
Atarudi kuwa diwaniMpare hapana hata ushawishi ndani ya chombo chake ashapoteza...........
Tulieni sasa waha wapewe uskaniππ
Mzanzibari kamishina Sami allahu lamin .....Hamdun....Kamishna wa Polisi Znz Kamishna Awadh sio Mzanzibar ni mtu wa Singida na kabila moja na Tundu Lissu
Waje Tu Watu Wako imaraTulieni sasa waha wapewe uskani[emoji4][emoji4]
Awamu ijayo naomba uandike haya maneno mujarabu kwa herufi kubwa ili kuyatendea haki maneno uliyosema.Makerubi wa mwendazake ni mazombie kama tu Makerubi wa Mfalme Zumaridi
Mpare ni nani huyo?Mpare hapana hata ushawishi ndani ya chombo chake ashapoteza...........
Madaraka makubwa kwenye idara ipi ?Mzanzibar kupewa madaraka makubwa tanganyika hii imekaaje
Eti gunia salasini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hana hata debe mojaJamaa alituhadaa kwamba anao ushahidi wa kumfunga Mbowe gunia kama "salasini" na zaidi.Ulipofika muda wa kutoa ushahidi,mashahidi wakawa wanashikwa na kiu kama bata wajane.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]