Tetesi: Za ndani kabisa mkuu wa PGO muda wowote kulikwa Kadi nyekundu akifuatiwa na namba tatu katika tasnia hiyohiyo

Tetesi: Za ndani kabisa mkuu wa PGO muda wowote kulikwa Kadi nyekundu akifuatiwa na namba tatu katika tasnia hiyohiyo

Hata hao wote wakitoka lkn CCM ipo pale pale.. Bado tatizo litaendelea kubaki .... toa mfumo wote wa CCM hapo ndo mafanikio yatapatikana
 
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Mwemwemwee!! Kweli vumbi vumbi la kwenye vumbi mzalisha vumbi hilo ni huyohuyo vumbi mwenyewe [emoji41]
 
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Sasa mpare Ana Shida Gani? Mteuzi Ndio ana Shida zake, apangue Hata Leo, Watu Wako Imara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.

Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake

Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.

Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Mpare kule kwao tayari ashakua ceremonial, jamaa wa kyabakari kashashauliwa sana amwage daruga hasikii....wote hao soon wanaanza tembelea magari binafsi
 
Jamaa alituhadaa kwamba anao ushahidi wa kumfunga Mbowe gunia kama "salasini" na zaidi.Ulipofika muda wa kutoa ushahidi,mashahidi wakawa wanashikwa na kiu kama bata wajane.😂😂😂😂😂
 
Mzanzibar kupewa madaraka makubwa tanganyika hii imekaaje
Madaraka makubwa kwenye idara ipi ?

Kama unazungumzia PT, unatakiwa kutambua hiyo ni moja taasisi za muungano, ndio maana Zbr kuna askari polisi wengi wenye asili ya bara. Upo hapo ?
 
Jamaa alituhadaa kwamba anao ushahidi wa kumfunga Mbowe gunia kama "salasini" na zaidi.Ulipofika muda wa kutoa ushahidi,mashahidi wakawa wanashikwa na kiu kama bata wajane.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti gunia salasini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hana hata debe moja

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom