Huyu jamaa leo ana shida kubwa sana. Nitafute nikupe counseling ndugu kwani wehu unakunyemelea kwa kasi.
Hoja zako zote za leo ni butu na upo kinafiki zaidi. Au wewe ni mamluki uliyeamua kuichafua ccm na viongozi wake maana hizi hoja zipo kisanii sana. Balozi hatoi tuzo bali makundi ya kijamii yanayohusika na shughuli fulani ya kijamii ndio huhusika kutoa zawadi kwa watu wanaosimamia shughuli yao pale inapoleta matokeo chanya yaliyokusudiwa na kuwanufaisha walengwa kwa kipindi chote.
Unafiki wako upo wazi mno kwani unajichanganya sana. Meza panadol upumzike!