bill kin
Member
- Sep 7, 2014
- 16
- 4
Watanzania tujiangalie pengine tunaweza kuwa wa kwanza kwa ujinga. Uzi gani unaleta hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipewa na Kagame utabisha mkuu!?jpm akipewa tuzo nitaamini mataifa ya nje hayatutakii mema....
Ni tatizo la ubongo wake tu, nilipokuwa darasa la tatu nilikuwa naandika vizuri tu.Kwani mleta mada ni mwanafunzi wa darasa la tatu? Hata kuandika maneno kwa usahihi hawezi sembuse mpangilio wa maneno wenye mantiki ili kuzifanya sentensi zake zieleweke. Hili ni zigo la misumari.
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Hakuna stupid zaidi yako, we kwa Akili yako serikali inawezaje kufanya tukio kama hilo katika kipindi hiki hiki ambacho Tundu alikuwa analumbana nayo? Hakuna hata siku moja system ifanye kitu cha kijinga namna hiyo, wabaya wa nchi ndio walipoona kila siku anajisema kuwa anafuatwa ndio wakaona hapo hapo watume loop hole hiyo hiyo kumdhuru, kama walitaka kufanya kweli mbona hawakumpiga kichwani?Tukusaidie vipi sasa while u have chosen stupidity as ur guide
Unatsfuta ukuuu wa wilaya au ukatibu tawala mkuu???Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Yaani mngekaa kimya ingesaidia angalau kufikii tofauti lakin kwa jinsi mna weweseka na post mpya zenye visa vipya kila siku ndio mnapo tia shaka.Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Kweli wana macho lkn hawaoni na wana masikio lkn hawasikii!Hivi mtu kumiminiwa risasi 32 kwa bunduki aina ya smg hata kama mevaa bullet proof utabaki?Kweli UONGOZ mgumu.
Kuna mambo ukijua kama yatatokea basi inakupada uwe MPOLE SANA.
Leo zigo la [emoji90] linamwangukia,hata kama hahusiki ila ndo hivyo,
Familia yake naamini inaposoma stori hizi mitandaoni inajihisi vibaya.
RiziWani mwaka huu alisema kwamba alikuwa akijiskia vibaya baba yake anaposemwa.
May Allah bless Me and You
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aseee Jf bhana[emoji38]Ngoja tumuachie bibie FaizaFoxy kazi ya kurekebisha kiswahili cha huyu Mhutu.
msaliti nambamoja ni ccm wametawala kwa miaka 55 hakuna lolote walilofanya la maana zaidi ya ufukaraUkipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Hii sijaipenda kabisa.Nikushauri ufanye heshima kwa kiongozi.Pole kwakukesha kusafisha mavi yanayonuka.
Mchafu hasafishiki.
Labda atapewa tuzo ya kiongozi mjinga kuliko wote duniani hata mi nitaunga mkono.