Tetesi: Tetesi Za Rais Magufuli kupata tuzo zakimataifa zachafuliwa na team X

acha kuongea na sisi, ongea naye aache UNAA. Kikwete, Mwinyi, Mkapa wanakula pensheni yao kwa starehe ila huyu maisha baada ya urais yatakuwa ya tabu sana. Aliowaumiza, aliowaua, aliowajeruhi kwa kiburi na ujeuri wake ni wengi kuliko aliowasaidia
 
Kanawe uso na mikono ili uweze kuona ugali wa mchana vizuri. Hila haijawahi kufanikiwa na Mungu huwaumbua hao wenye hila waongo na wanafiki. Kitendo hichi hakitawatoka watanzania itabaki kama kumbukumbu kwao kuwa mtetezi wa demokrasia kashambuliwa akiendelea kupaza sauti ya demokrasia idumu
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..

Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...

Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu

Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..

Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali

Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...

Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
 
Kinachotakiwa kuhusu sakata hili:

1. Kila upande utoe maximum cooperation
2. Watafutwe independent investigators kwa kuwa over recent past TAL amekuwa na msimamo tofauti na dola ii kuondoa hisia ambazo zinaweza kuhusisha tukio hili na msimamo wake na dola

Tukusaidie vipi sasa while u have chosen stupidity as ur guide
 
Naomba niulize kwani na wewe mtoa mada una undugu na DAB??

Maana siredi zako zinanitia mashaka na apu stea yako.
 
kuna mtu nasikia ni msaliti kwa taifa kiasi kwamba yuko radhi taifa likose misaada kwa matakwa yake labda huyo ndiye aliyehusika kuisambaza hiyo taarifa ili kumharibia sifa ya kupata tuzo huyo unaye mzungumzia
 
Toka lini katili akapewa tuzo ?...

Kama tu alishindwa kupata tuzo ya Forbes asahau kabisa mpaka anatoka madarakani..

Wazungu uwa hawana mchezo na mtu anayechezea democracy na Uhuru wa kujieleza...

Kwanza tuzo ya nini ? Ya kubadili uchumi wa watu kutoka milo miwili hadi mlo mmoja pengine hamna kabisa?..

Bila shaka mmejipanga vilivyo kumuharibia.
 
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..

Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...

Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu

Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..

Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali

Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...

Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Upuuzi wa kiwango duni sana ! Kama na wewe unalipwa kwa ujinga kama huu basi hela za ccm zinaliwa hovyo sana ! Hivi Magufuli ni wa kupewa tuzo ! Unaitukana dunia kwa faida gani ?
 
Toka lini katili akapewa tuzo ?...

Kama tu alishindwa kupata tuzo ya Forbes asahau kabisa mpaka anatoka madarakani..

Wazungu uwa hawana mchezo na mtu anayechezea democracy na Uhuru wa kujieleza...

Kwanza tuzo ya nini ? Ya kubadili uchumi wa watu kutoka milo miwili hadi mlo mmoja pengine hamna kabisa?..
Short sighedness. Nani alikwambia wazungu wanna interest na hizo rudimental democracy za kwenu? Iraqi, Saudi Arabia, Kuwait, Afghanistan, Pakistan and the like of such countries kuna democracy gani? Ninyi ni bure kabisa! Mnadhani kuwa mawakala wa wezi wa rasilimali zetu ni kazi ya maana! Tanzania imekwisha pata kiongozi mwenye mwelekeo sahihi, hakuna Mwananchi anayejifahamu atakayekubali kurudi nyuma.
Lisura lake libaya huna haja ya kujisumbua kuliharibu.
Liroho ndio balaa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Short sighedness. Nani alikwambia wazungu wanna interest na hizo rudimental democracy za kwenu? Iraqi, Saudi Arabia, Kuwait, Afghanistan, Pakistan and the like of such countries kuna democracy gani? Ninyi ni bure kabisa! Mnadhani kuwa mawakala wa wezi wa rasilimali zetu ni kazi ya maana! Tanzania imekwisha pata kiongozi mwenye mwelekeo sahihi, hakuna Mwananchi anayejifahamu atakayekubali kurudi nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe sasa unajifahamu ?

Kama watu wanaojifahamu ni wewe uliyeandika hapo kazi kweli nani alikufundisha kuwa saudirabia n kwa wazungu?
 
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..

Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...

Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu

Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..

Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali

Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...

Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Umeongea vizuri sana ila umeharibu hapo uliposema TL alipelekwa Nairobi kwasababu hawaamini huduma zetu hapo hukusikiliza wahusika walisema nini sio kua hawaamini madaktari wetu bali ilikua issue ya usalama wa Lissu. Hayo mengine nakubaliana nawe yanaleta maswali mengi sana
 
Short sighedness. Nani alikwambia wazungu wanna interest na hizo rudimental democracy za kwenu? Iraqi, Saudi Arabia, Kuwait, Afghanistan, Pakistan and the like of such countries kuna democracy gani? Ninyi ni bure kabisa! Mnadhani kuwa mawakala wa wezi wa rasilimali zetu ni kazi ya maana! Tanzania imekwisha pata kiongozi mwenye mwelekeo sahihi, hakuna Mwananchi anayejifahamu atakayekubali kurudi nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mnakiri kutulenga mtuue?
 
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..

Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...

Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu

Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..

Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali

Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...

Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini

Una hakika Rais wako ana sura ya kimataifa?
 
Tukusaidie vipi sasa while u have chosen stupidity as ur guide
wewe unaona kiswahili chenyewe ni kibovu kupita maelezo. Unavyomchanganyia lugha, ataambulia kitu? Achilia mbali kuwa alichagua ujinga kuwa kiongozi wake
 
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..

Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...

Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu

Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..

Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali

Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...

Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
nilikuwa nafatilia sana habari za nje, hii issue imechafua sana sura ya tanzania, manake mpaka presstv nayo imetoa,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Mijitu mingine sijui ikoje? Hivi kumpa tuzo bwana yenu ndo Lisu auawe eti ili aikose? Tuzo yake inatusaidia nini sisi? Mpeni tuzo hata mia hapo Lumumba na kama mnataka apate za nje waambieni rafiki zenu wataalamu Wa bidhaa feki wampe. Mnarukaruka kama maharage ya kigoma kuiva hamuivi!!

ACHA nikae KIMYA...!
 
Back
Top Bottom