Tetesi: Tetesi Za Rais Magufuli kupata tuzo zakimataifa zachafuliwa na team X

Huyu jamaa leo ana shida kubwa sana. Nitafute nikupe counseling ndugu kwani wehu unakunyemelea kwa kasi.
Hoja zako zote za leo ni butu na upo kinafiki zaidi. Au wewe ni mamluki uliyeamua kuichafua ccm na viongozi wake maana hizi hoja zipo kisanii sana. Balozi hatoi tuzo bali makundi ya kijamii yanayohusika na shughuli fulani ya kijamii ndio huhusika kutoa zawadi kwa watu wanaosimamia shughuli yao pale inapoleta matokeo chanya yaliyokusudiwa na kuwanufaisha walengwa kwa kipindi chote.
Unafiki wako upo wazi mno kwani unajichanganya sana. Meza panadol upumzike!
 
Asee mbona unaandika upu.mbavu?Hizi ajira za kujuana ndizo zimeleta watu wasio fikiri na matokeo yake mmekosa mbinu za kiinteligensia kufanya kazi zenu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya sisi watanzania bwana,kwenye uongo tunasema uongo na kwenye ukweli bado tunathubutu kusema uongo tuu
 
Kuna haja ya kuangalia aina ya watu wa kuposti nyuzi za kimkakati..wengine wanaharibu
Inaonekana leo kiranja wao wa uongo anajisikia kuumwa kwa kusikia Lisu jana kaongea. Sasa hyu jamaa yeye ana jipostia maujinga ujinga anavyo jisikia

RISASI ZA NINI TENA JAMANI!
 
Ukiwa madarakani ukikandamiza democracy na uhuru wa kujieleza na kuikalia kimabavu miimili mingine hasa bunge na mahakama sahau kabisa tuzo hata ufanye nini huwezi kupata hizo tuzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume ni akili, punguza toratiiiii

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
 
Tusipokuwa makini TZ itarudi zama zile:
1. Za biashara za magendo kwani hata ukitumiwa kalamu ya tshs 5 unapigwa kodi ya Tshs 2000.
2. Tutaanza kushuhudia wezi wakirudia kuvunja nyumba kuiba TV, Radio na simu.
3. Biashara haramu za hela kushamiri.
4. Fedha nyingi kufichwa majumbani kuliko bank
5. Watu kuwa na hela lakini wakose bidhaa kwani wafanyabiashara wengi watashindwa kuziendesha na pia wanaoleta vitu kutoka nje wataacha kabisa kutokana na Kodi zisizoeleweka.
6. Uhujumu uchumi utafufuka kwa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kima hata kuandika hujui,,call me jay

Bless I
 
Kundi x ndio Kina nani? Au watu wasiojulikana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Libya walikuwa na maisha mazuri mpaka income support walikuwa wanapata sasa sisi lini tulikuwa na hayo maisha mpaka tuwe na wasiwasi? Hapa tulipo tangu aingie afadhali ya jana kama kulikuwa tunapata milo2 sasa hivi 1au siku nyingine unauita kavu. Sasa tukimtoa tuna hasara gani? Libya was wake kila hasara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mleta mada ni mwanafunzi wa darasa la tatu? Hata kuandika maneno kwa usahihi hawezi sembuse mpangilio wa maneno wenye mantiki ili kuzifanya sentensi zake zieleweke. Hili ni zigo la misumari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…