Tetesi: Tetesi Za Rais Magufuli kupata tuzo zakimataifa zachafuliwa na team X


Ule msemo "Mzungu = Mungu" umekuingia sana
 
Hivi mnahudumia kwa pesa za Bunge?
Ilikua mkakataza watu wasimuomombee
 

Msaliti ni wewe
 
Reactions: SDG
Lipi baya? Kutufungia ndani na kutupiga na kutuua na isijulikane kwa yeyote? Hata kupiga kelele mnazuia!! Acha wenye uhuru wao wajue na kutuumbua!! Eti unamtetea rais yupi tena!? Shaameeeeeeeeee
 
Nikusaidie tu
1.Wachina awam hii hawapat mirad,walitegemea SGR kapewa mturuki,wataacha kumpamba.
Video ya Lissu kufika nje sio issue kwa sababu hata picha za HOSTEL ZA UDSM zimetufikia sisi kabla hata MUKANDALA NA TBA.
 
Dah!! Kweli mtaji wa ccm ni ignorance za watanzania, kipi cha maana alichofanya, au kubomolea makazi ya watu ndo sifa? Tena kwa kubagua, wasukuma wa mwanza wasibomolewe kwakuwa walimpigia kura ila wa Dar na Pwani ndo wabomolewe
 
Wewe ulioandika umelogwa au umekunywa damu ya paka ziba masikio yako nakidole ukisikia .kelele ujue unamatatizo na uniona kimya ujue ni mzima
 
Aliyevuruga mfumo wa elimu nchini alifanya kosa kubwa sana!
 
Huenda ni mimi tu sijaelewa nini ulikusudia kufikisha ujumbe
 
Aliyevuruga mfumo wa elimu nchini alifanya kosa kubwa sana!
Kosa kivipi Mkuu? Wakati mission is accomplished?? Huoni inavyosaidia kuendesha mambo kwa jinsi wanavyotaka?
 
Kuna kitu braza mi nimekielewa sema wabongo hawaruhusu kutazama kulia ikiwa wameelekezwa kushoto
 
Haya sasa pamoja na majungu ya chadema mkuu amelamba tuzo ya Mandela na bado nyingi zinafuwata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…