Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lini katili akapewa tuzo ?...
Kama tu alishindwa kupata tuzo ya Forbes asahau kabisa mpaka anatoka madarakani..
Wazungu uwa hawana mchezo na mtu anayechezea democracy na Uhuru wa kujieleza...
Kwanza tuzo ya nini ? Ya kubadili uchumi wa watu kutoka milo miwili hadi mlo mmoja pengine hamna kabisa?..
Hivi mnahudumia kwa pesa za Bunge?Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Anastahili tuzo za u mediocre, udicteta na roho mbaya.Lisura lake libaya huna haja ya kujisumbua kuliharibu.
Liroho ndio balaa zaidi.
Nini bati, shaba ya kwenye bichwa bondo lake ndicho anachostahili.Akifanikiwa kutoka tutadiri nae kitaa!
Akiomba hata panado tunamlia bati.
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Lipi baya? Kutufungia ndani na kutupiga na kutuua na isijulikane kwa yeyote? Hata kupiga kelele mnazuia!! Acha wenye uhuru wao wajue na kutuumbua!! Eti unamtetea rais yupi tena!? ShaameeeeeeeeeeUkipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Nikusaidie tuUkipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Aliyevuruga mfumo wa elimu nchini alifanya kosa kubwa sana!Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Kosa kivipi Mkuu? Wakati mission is accomplished?? Huoni inavyosaidia kuendesha mambo kwa jinsi wanavyotaka?Aliyevuruga mfumo wa elimu nchini alifanya kosa kubwa sana!
Mtoa mada akapimwe mkojoMtoa tuzo akapimwe akili