Alilazimishwa afute na Boss wake simu na Email za madeal hazipiti tena kwake..Pesa ziko kwa matahira na mazumbukuku walio wengi zaidi Tanzania embu tufanye jambo mkuu tupige hela za kutosha kabla hawajaanza kupata akili.
Mendez alivyofuta tu yale maneno ikawa ni breaking news, mtu kufuta post alizopost mwenyewe ni breaking news hahahaha ulofa huu
Hana idea yoyote huyo angalia asije akakupiga, Mtu anamsifia mtu Imara,atakua na idea ya ma deal kweli?Lete idea tufanye kitu.
Ona huyu, Kabla ya Kufika huku Mabaunsa watakua wameshakupukutisha Meno ya mbele umekua kibogoyoKwa kuwa ni upumbavu ndio unatakiwa tuanze na kumtongoza Wema Sepetu nina kabajaj hakana kazi hadi kanaelekea kuotewa majani tuanze kumpia misele na waandishi wa online Tv nitawalipa!
Tunampigia magoti mabaunsa hata wakitubeba watutupe hatukomi akitupa tu attention yake tunaachana naye tunahamia kwa Zuchu saivi trend ipo kwa haka by the time tunakuja kumaliza upumbavu tumeshakuwa ma celebrity [emoji13][emoji13] na ubalozi tutapata.
Alafu zile Post ambazo tulikuwa tunapost IG tunafuta zote kina Robinyo wanakuja kutengeneza habari
Kupiga sio kazi yao, uliza kazi yao uambiweOna huyu, Kabla ya Kufika huku Mabaunsa watakua wameshakupukutisha Meno ya mbele umekua kibogoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasikitisha sana wewe.Alilazimishwa afute na Boss wake simu na Email za madeal hazipiti tena kwake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nazungumzia Inshu ya Sallam na Diamond, kijana mbona unakurupuka kama muoga nje.Unasikitisha sana wewe.
Unamjua manager wa Rayvanny ni nani?
Unajua ukitaka kumpata Rayvanny aje kwenye show yako unawasiliana na nani na utamlipa nani?
Unamjua nani anayefanya kazi ya IT kulinda mitandao ya kijamii ya WCB yote (exclude Wasafi media) ni nani?
Unamjua mwenye maamuzi pale WCB ni nani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.mambo yao tuwaachie wenyewe
Kumbuka Instagram kuna namna ya kuficha posts na sio kuzifuta, hakuna ajuaye.Leo kafuta post zake Zote kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Usafini Kuna nini jamani? Kufuta post kunaashira dogo anataka kuanza upya au Anatakata kukabidhi akaunt yako kama ilivyo kawaida kwa Wcb kuwanyanganya akaunt zao zote wasanii wake pindi wanapojitoa kwenye label.View attachment 1442514
Sent using Jamii Forums mobile app
Konde boy kashafanya yake baada ya kukutwa subscribers[emoji28][emoji28]Nahisi hackers labda washafanya yao
We jamaa unawajua sana wasafi eeeeh..... Leo ni birthday ya s2kizzy na walikua wote nyumbani kwa mondi
Hahah hata mimi hua namshangaa sana badala awa promote wasanii wa kiba na kiba mwenyewee yeye kutwa anawawaza wasafii
Leo unajita mchambuzi mbona hatuoni ukichambua kazi za wasanii wengine ila wasafi ndo wameiteka akili yako[emoji40][emoji40][emoji40]
Endelea kunifatilia mkuu upate madini toka pande zote kwenye mziki huu wa bongo flevaLeo unajita mchambuzi mbona hatuoni ukichambua kazi za wasanii wengine ila wasafi ndo wameiteka akili yako[emoji40][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo ana followers 24 pekee, a/c fakeLeo kafuta post zake Zote kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Usafini Kuna nini jamani? Kufuta post kunaashira dogo anataka kuanza upya au Anatakata kukabidhi akaunt yako kama ilivyo kawaida kwa Wcb kuwanyanganya akaunt zao zote wasanii wake pindi wanapojitoa kwenye label.View attachment 1442514
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwako tunapata madini ya wasafi tu yaani !!Endelea kunifatilia mkuu upate madini toka pande zote kwenye mziki huu wa bongo fleva
Sent using Jamii Forums mobile app
Kotekote Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] kwako tunapata madini ya wasafi tu yaani !!
Sent using Jamii Forums mobile app