Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

Wazungu wanafurahi huu ujinga , they will make more money and dominate Africa.

Watu mko jumuia Moja badara ya kukuza biashara mko bize kuwa watu.

Rwanda Kwa sababu anaunga mkono wahuni waziwazi afukuze uanacha, ndege yake yeyote inayoenda Rwanda isiruhusiwe. Mipaka ifungwe kama watatoboa.
 
Kagame anafanya kuwaaminisha wanyarwanda kwamba Rwanda chini ya uongozi wake imekuwa na nguvu kubwa kijeshi kiasi cha kukabiliana na nchi zote za SADC, kaenda mbali zaidi hadi kuanza kuitunishia misuli South Africa.

Hii inampa mileage kisiasa na kuheshimika na kuogopwa, Jamaa anapenda kusujudiwa na anapenda kuogopwa, sasa ameona nchini kwake wananchi wanamlamba viatu kaona hapatoshi, ameanza kuleta udikteta wake kwa jirani zake.

Anapotoa kauli kama hizo kwamba yupo tayari kukabiliana na South Africa, wananchi wake nao wanakaa kwenye vijiwe wakiona Rwanda inaweza pambana na nchi yeyote Africa.

SANDF wana uwezo kupigana na Rwanda 10.
Nchi yenye military industrial complex kama SA si mchezo.
Japan alipoishambulia Pearl Harbor aliua askari 2300 wa USA, akajiona mwamba, kitendo kilichofanywa na US hadi leo imekuwa ni somo mashuleni wanafunzi wanasoma na kujibu mitihani.
 
Hii vita ni rahisi sana kuielewa

Congo sehemu zenye madini, wenyeji wanafunkuzwa kupisha uchimbaji, sehemu nyingi zimekuwa rahisi kuwahamisha wenyeji

Tatizo lipo Congo ya Mashariki kuna madini mengi lakini wenyeji wa huko ni Watutsi waliokataa kuhama.

Serikali ya Congo inataka kuwaondoa watutsi kwa njia ya kikabila warudi kwao Rwanda wakati uhalisia wapo ndani ya mipaka ya Congo.

M23 ni watutsi wanalinda watutsi wenzao wakisaidiwa na Rwanda.

Serikali ya Congo wanapeleka jeshi kwa kisingizio cha kukomboa ardhi, ndio propaganda inatumika kuomba msaada wa kijeshi kwa nchi zingine.

Ukitaka kuwahamisha watutsi wa Congo waende kwa wenzao Rwanda, wape na ardhi yao waiunge Rwanda au iwe nchi huru.
Propaganda hizo vipi hivi Wamasai au Wajaluo wale ni Wakenya au Watz? Kwani mataifa mawili kuwa na jamii zenye kabila moja linalo fanana ni kitu cha ajabu?

DRC machafuko yale ni kutokana na rasilimali walizokuwa nazo,EU,US wanamtumia Kagame sababu ya Cobalt na Coltan ambayo inatumika kutengeneza mabetri ya simu na magari kwa ajili ya maslahi ya viwanda vyao.DRC peke yake ina zaidi ya asilimia sitini ya Cobalt ya dunia yote hapo hujazungumzia dhahabu, Almasi, Copper.

Msikilize mbunge wa Ubeligiji.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D
Hivi vita US ,EU wakikaa pembeni inaisha na jimbo linakuwa na amani. Russia nae anampango wa kuingia ,kuwavurugia US na EU sababu anajua mchezo wao pale Rwanda na juzi kwenye baraza la umoja wa mataifa amewaambia Rwanda waondoke DRC.
 
Hiyo kauli anaitoa sababu nyuma anajua yupo na EU pamoja na US wanaompa jeuri, kwani wanamtumia kuiba Colbalt na Coltan ya DRC.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D
 
Mbona watanzania tunajiona wa kawida sana shida nini hasa? Hapa Afrika majeshi yanayo tuzidi skill labda ni taifa la falao tu
Mleta uzi ni mnyarwanda mkuu ilo lisikupe shida,, huyo baba yake mwenyewe paka anajua fika kabisa ya kuwa tz ndo baba wa majeshi kwa ukanda huu wa Africa mashariki na sadc labda South Africa na kwa vifaa tu ila sio skills
 
Huyo kagame anavyopambwa na hicho kirwanda chake kisa tu kunyanyasa migambo ya kongo wacheza mayenu, kama usemavyo ndivyo na ajaribu basi hata kuchukua nusu ekari ya ardhi ya Tanzania 🇹🇿 kisha atanngaze yake, geita si kuna migodi, awatume hao M23 waje kama hajajambia kwenye maji,, kinchi chenyewe kile tunatia bomu mbili tu shughuri tunamaliza,,, ye awaonee hao hao migambo ya kongo mana lile sio jeshi.
Kumbe hata Rwanda yenyewe huijui nguvu yake kijeshi. Wenzako wana iron dome, mtapigaje huto tubomu tuwili?
 
Hivi Rwanda toka amezaliwa aliwai kupigania Vita na nchi gani akashinda?

Kama ana nguvu kweli kwa Nini 2013 alikimbia uwanja wa Vita?

Msumbiji alikotuma majeshi vipi mrejesho?

Mtu aliyefuatwa na makomandoo wa tz mpaka kwenye Ikulu yake ??

Tanzania inaweza kuwa uchi lakini Rwanda ni watupu hakuna nchi inapekuliwa na tanzania east Kama rwanda!!!!

Kagame Hana uwezo wowote wa kupigana Vita na Tanzania !!
Mkuu hii ya kufuatwa na makomando hadi ikulu au story za Mburahati kijiwe cha draft?
 
Kumbe hata Rwanda yenyewe huijui nguvu yake kijeshi. Wenzako wana iron dome, mtapigaje huto tubomu tuwili?
Kwani hiyo iron dome haipigi?? Hii si ndo ilifeli kule Israel baada ya muiran kushusha vitu kutoka Tehran mpaka Mmarekani kaenda kufunga mfumo wake.. awe na mifumo ya ulinzi asiwe nayo kwa TZ Rwanda ni underdog kijeshi, utake ndo hivyo usitake ndo hivyo hivyo,, najua inakuuma watusi mpo wengi humu, huyo baba yenu paka mbona anamkoromea msouth Africa ambae yupo mbali hali ya kuwa mbongo yupo karibu na yeye pia kapeleka kikosi mbona hatufokei
 
Warwanda akili kubwa.
Wapo kwenye vyeo vya juu police, TPDF, TISS n.k
Mmoja kashitukiwa akiwa lieutenant colonel kalala mbele.
Vyombo vya ulinzi na usalama Bongo vinatukuzwa sana ila deeply hamna kitu
Uko mis informed ilikuwa bortion tu kwamba alitoroka wahuni walimalizana nae.
 
Hivi Rwanda toka amezaliwa aliwai kupigania Vita na nchi gani akashinda?

Kama ana nguvu kweli kwa Nini 2013 alikimbia uwanja wa Vita?

Msumbiji alikotuma majeshi vipi mrejesho?

Mtu aliyefuatwa na makomandoo wa tz mpaka kwenye Ikulu yake ??

Tanzania inaweza kuwa uchi lakini Rwanda ni watupu hakuna nchi inapekuliwa na tanzania east Kama rwanda!!!!

Kagame Hana uwezo wowote wa kupigana Vita na Tanzania !!
He he he..... Alifuatwa Ikulu na Makomandoo wa Tz? Hii chai dogo. Usizidishe chai.
 
Mnampamba sana huyu Slim
Nakuambia tukienda na fimbo tu atakimbia
Kiburi chote naona kuna Mzungu nyuma yake anaekula nae keki ya Congo
Hakuanza leo huko DRC bali tangu enzi za Kabila na Mwanae, watusi walikuwa wanapigana huko
 
Huyo kagame anavyopambwa na hicho kirwanda chake kisa tu kunyanyasa migambo ya kongo wacheza mayenu, kama usemavyo ndivyo na ajaribu basi hata kuchukua nusu ekari ya ardhi ya Tanzania 🇹🇿 kisha atanngaze yake, geita si kuna migodi, awatume hao M23 waje kama hajajambia kwenye maji,, kinchi chenyewe kile tunatia bomu mbili tu shughuri tunamaliza,,, ye awaonee hao hao migambo ya kongo mana lile sio jeshi.
Mkataba ulisainiwa March 23......wampe lile eneo vita iishe.....Kabila Sr. alifanya unafiki baada ya kusaidiwa.....BY THE WAY....AFRICA UNITE
 
Nikusema hapo nyuma, pakianza kutukia Mashariki ya kati, pirate litacgezwa Afwika.

Huu ni mwanzo tu, Afrika ndio pira litachezwa sana, malighafi na mali asili ni nyingi kuliko mashariki ya kati.

Watu kama lussu watazamwe sana, ni nawakala wa shetani.
 
Hii vita ni rahisi sana kuielewa

Congo sehemu zenye madini, wenyeji wanafunkuzwa kupisha uchimbaji, sehemu nyingi zimekuwa rahisi kuwahamisha wenyeji

Tatizo lipo Congo ya Mashariki kuna madini mengi lakini wenyeji wa huko ni Watutsi waliokataa kuhama.

Serikali ya Congo inataka kuwaondoa watutsi kwa njia ya kikabila warudi kwao Rwanda wakati uhalisia wapo ndani ya mipaka ya Congo.

M23 ni watutsi wanalinda watutsi wenzao wakisaidiwa na Rwanda.

Serikali ya Congo wanapeleka jeshi kwa kisingizio cha kukomboa ardhi, ndio propaganda inatumika kuomba msaada wa kijeshi kwa nchi zingine.

Ukitaka kuwahamisha watutsi wa Congo waende kwa wenzao Rwanda, wape na ardhi yao waiunge Rwanda au iwe nchi huru.
Hichi ndio kiini cha vita...
 
Propaganda hizo vipi hivi Wamasai au Wajaluo wale ni Wakenya au Watz? Kwani mataifa mawili kuwa na jamii zenye kabila moja linalo fanana ni kitu cha ajabu?

DRC machafuko yale ni kutokana na rasilimali walizokuwa nazo,EU,US wanamtumia Kagame sababu ya Cobalt na Coltan ambayo inatumika kutengeneza mabetri ya simu na magari kwa ajili ya maslahi ya viwanda vyao.DRC peke yake ina zaidi ya asilimia sitini ya Cobalt ya dunia yote hapo hujazungumzia dhahabu, Almasi, Copper.

Msikilize mbunge wa Ubeligiji.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D
Hivi vita US ,EU wakikaa pembeni inaisha na jimbo linakuwa na amani. Russia nae anampango wa kuingia ,kuwavurugia US na EU sababu anajua mchezo wao pale Rwanda na juzi kwenye baraza la umoja wa mataifa amewaambia Rwanda waondoke DRC.

Ok.. ka video haka kidoogo kamefunguka.
 
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence....
Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume hata kama ni mdogo basi nyani humkimbia yes twende na mimi....
Tanzania kwa miaka yote ni baba wa siasa za Africa 🌍 😑 ♥️ shime Mwalimu Nyerere tunakukumbuka Baba. Tanzania tumejaliwa na Taifa letu ninyumbani kwa wapigania uhuru wa Africa. Kete hii imetufanya kuwa na nguvu hata yakuweka watawala ktk nchi za Africa na huu uwezo umetuvimbisha bichwa haswaaa ila kwa wale mnasoma thread zangu mtakubaliana na mimi nimekuwa nikilia na idara zetu na kwenendo wa siasa zetu nakuona tunako enda basi kazi itakuwa ngumu.
Nakumbuka kuzitaadharisha idara za Taifa yakuwa mchwa ako kwa nyumba na paa likianguka amesha tafuna nyumba.

M23 wapo vitani na hii vita sio rahisi itakuwa ngumu kwa sababu ya conspiracy. Kagame kwa vyovyote huu ndio muda wake kumalizana na Tz wala sio nini wala nini hayati mch Mtikila aliwahi tuambia wakamalizana naye mapema kwa sasa sio siri Rwanda wanatujuwa vema Tz hata tujificheje wanajuwa siri zetu na huu ndio muda wakumalizana na sisi. Kuanguka kwa serikali ya Congo DRC nikishindo cha maumivu kwa serikali ya Tz. Natusibishane hili laweza tokea labda kama maamuzi magumu yatatokea yaani nyani aone mwanaume atarudi nyuma. Tangu Nyerere mpaka JK Rwanda hajapoa...
Rwanda anawaona Wabantu ndio kitisho cha kesho ya Tutsi na Tz ndio mlezi... SA ndio walewale na alie namba mbili ni uzao wa SA japo kazaliwa Tz ila history inasema wangoni ni wa SA unaweza kuona why Kagame hawez lala.
Pili Kagame ndio chairman EAC je unategemea nini kwa mfano?
Mawakala wa shetani tunawafahamu miandiko yenu, mna hamu tu ya kumtukana mama na Uislam.
 
Back
Top Bottom