Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence....
Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume hata kama ni mdogo basi nyani humkimbia yes twende na mimi....
Tanzania kwa miaka yote ni baba wa siasa za Africa 🌍 😑 ♥️ shime Mwalimu Nyerere tunakukumbuka Baba. Tanzania tumejaliwa na Taifa letu ninyumbani kwa wapigania uhuru wa Africa. Kete hii imetufanya kuwa na nguvu hata yakuweka watawala ktk nchi za Africa na huu uwezo umetuvimbisha bichwa haswaaa ila kwa wale mnasoma thread zangu mtakubaliana na mimi nimekuwa nikilia na idara zetu na kwenendo wa siasa zetu nakuona tunako enda basi kazi itakuwa ngumu.
Nakumbuka kuzitaadharisha idara za Taifa yakuwa mchwa ako kwa nyumba na paa likianguka amesha tafuna nyumba.

M23 wapo vitani na hii vita sio rahisi itakuwa ngumu kwa sababu ya conspiracy. Kagame kwa vyovyote huu ndio muda wake kumalizana na Tz wala sio nini wala nini hayati mch Mtikila aliwahi tuambia wakamalizana naye mapema kwa sasa sio siri Rwanda wanatujuwa vema Tz hata tujificheje wanajuwa siri zetu na huu ndio muda wakumalizana na sisi. Kuanguka kwa serikali ya Congo DRC nikishindo cha maumivu kwa serikali ya Tz. Natusibishane hili laweza tokea labda kama maamuzi magumu yatatokea yaani nyani aone mwanaume atarudi nyuma. Tangu Nyerere mpaka JK Rwanda hajapoa...
Rwanda anawaona Wabantu ndio kitisho cha kesho ya Tutsi na Tz ndio mlezi... SA ndio walewale na alie namba mbili ni uzao wa SA japo kazaliwa Tz ila history inasema wangoni ni wa SA unaweza kuona why Kagame hawez lala.
Pili Kagame ndio chairman EAC je unategemea nini kwa mfano?

View: https://x.com/lwaitama1/status/1884580160088969265?t=8HILA08Q5s8jyYTO8vCmeg&s=19
 
Daah hii kumpamba mwanaume mwenzio hivi ni udhaifu mkubwa sana maana iko siku utakutana na mwanaume wa Kinyarwanda akikuomba chochote utampa!!

Jaribu kuwa mzalendo hata Kidogo ufiche thamani ya utu wako!

Yaaani M23 kusumbua Kongo, manawatukuza rwanda mnatetemeka kwa furaha mpk Jicho linachururuzika jasho!
 
Wanyarwanda wamejazana kibao Munduli na vyuo vyetu vya kijeshi kufundishwa maswala ya uongozi na skills za kijeshi. Vitu vingine kama hamjui nyamazeni tu, ila hao unao wasifia ni weupe.

Wanao mpa jeuri ni US na EU kwa pamoja wanashirikiana kuiba Colbalt na Coltan ya DRC ndio maana ana kiburi na juzi UN Russia kaongea wazi kwamba Rwanda aondoke DRC,ukiona hivyo anataka kuingia DRC ili awakomoe US na EU.
Unavyosema wamejazana, unatakwimu au ushadi
Kagame ni Putin mtupu kama kuna anaebisha apeleke jeshi pale akaone mbungi atakayokutana nayo.
Wakuu mawazo yenu yametulia, itabidi tuwasimike na kuwatawaza muwe viongozi wetu mmoja mwenyekiti mwingine kaimu
 
Warwanda akili kubwa.
Wapo kwenye vyeo vya juu police, TPDF, TISS n.k
Mmoja kashitukiwa akiwa lieutenant colonel kalala mbele.
Vyombo vya ulinzi na usalama Bongo vinatukuzwa sana ila deeply hamna kitu
Uwa na pandikizi ndani ya serkali na idara nyeti si kitu kigeni duniani hata nchi kama USA, UK, ,China , Urusi n.k wapo, hii isikutishe usije ukashangaa kuwa hata yeye ni wakala wa TISS ndani ya Rwanda anayetaka kuasi au yuko kwa Mission na Makawala wenginge wapo huko. Ikitokea mbungi bamba to bamba ndio utajua Jeshi lipi lina weledi wa kutosha. Na ikumbukwe kuwa hata kikosi chote cha JwTz ndani Congo kiktekwa au kuuawa bado haifanya uje kuwa TPDF ni dhaifu HAPQNA kumbuka Rule of engagement, kuwa wako kule kulinda na si kushambulia M23 labda tu inapobidi hivi uwe kazi yako ni kukwepa tu ngumi opponent anaporusha hata kama unaona huu mkono umenyoshwa kwa style ya kuuvunja lkn huuvunji ni kazi kweli.
Jambo lingine intel info zinauzwa na mashirika ya kijasusi ya kimataifa yaani kuwa wahuni wanauza ramani kwa adui tena dabali yaani huku na kule hapa kama hunielewi basi.
Jambo lipo la msingi na sekondari kuwa kila mtu yuko kule kama mercernary tu wengine officially wengine kibabe tu kwa ajili ya shekeli hapasi D 2 zinahitajika bali kama umesoma tu shule za kata utaelewa.
Nipo hapa kigali mitandao yenu mnapoandika mnazua TAHARUKI kwa tutsi wanaogopwa kuvamiwa na SA kiwa na Tz kwa pamoja. Acheni kusababisha yafanyike mapinduzi kwa PK huyu ameshazeeka . Kigali ni wasafi na wakarimu sana, kesho nielekee rural areas wananiita Muganda🏃‍♂️
 
Huyo kagame anavyopambwa na hicho kirwanda chake kisa tu kunyanyasa migambo ya kongo wacheza mayenu, kama usemavyo ndivyo na ajaribu basi hata kuchukua nusu ekari ya ardhi ya Tanzania 🇹🇿 kisha atanngaze yake, geita si kuna migodi, awatume hao M23 waje kama hajajambia kwenye maji,, kinchi chenyewe kile tunatia bomu mbili tu shughuri tunamaliza,,, ye awaonee hao hao migambo ya kongo mana lile sio jeshi.
Kinachoandaliwa hapo sio vita vya moja kwa moja sababu ikiwa hivyo tutapata hasara lakini tutaibeba rwanda kwa muda mfupi.
Kama unafuatilia siasa za kimataifa kwa undani utaona Rwanda inaandaliwa kuwa base ya mataifa ya magharibi kama ilivyo Israel, Ukraine, Taiwan nk,
Tutatafutiwa mfupa utakaotuweka bize huku silaha muhimu zikiwa zinashuka rwanda kisha kugawanywa kwa makundi kwa namna ya kufichaficha ili tusiweze kupeleka vita moja kwa moja rwanda.
NATO wana mke wao hapa jirani ambae ni kagame, kisha wana mchumba wao ambay ni Kenya.
Wanacheza kwa akili kiasi kwamba siku tutakuja kushtuka utakuta tumechelewa
Uganda nayo inasaidiana na maadui wa afrika pasipo kujua ila Rwanda na Kenya wapo tayari kupokea maelekezo ya moja kwa moja kutoka mataifa ya magharibi.

Wanachotaka ni madini ya Congo na mbao ndani ya msitu mkubwa namba 2 duniani..

Lingine na la muhimu ni kuharibu biashara ya China na afrika sababu nguvu ya China kiuchumi huwezi kuiondoa kwa kuhonga viongozi wa afrika au kuwatishia.
Unaona marekani na washirika wake wakijifanya kuikemea Rwanda kumbe sio kweli bali ni kujifanya hawako pamoja ili tuchelewe kuchukua hatua. Wanataka muda wa kujiimarisha na wanataka mkono wao ufike mbali zaidi

Vita vikiibuka vikubwa ukanda huu utawakuta hadi wanajeshi wa Ukraine, Uingereza, Poland, Marekani, ubelgiji, ufaransa wakipigana upande wa Rwanda alafu ukiuliza utaambiwa ni watu wa kujitolea. Tena utaona viwanja vya ndege nchini Rwanda vikiwa bize kupokea ndege za kiraia kumbe ni silaha zinashushwa
 
Tumekuwa bize sana na kukTika mauno uchawa na ujinga ujinga kupewa kipaumbeleee ,ubishi wa mpira burudani 24/7

Ova
 
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence....
Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume hata kama ni mdogo basi nyani humkimbia yes twende na mimi....
Tanzania kwa miaka yote ni baba wa siasa za Africa 🌍 😑 ♥️ shime Mwalimu Nyerere tunakukumbuka Baba. Tanzania tumejaliwa na Taifa letu ninyumbani kwa wapigania uhuru wa Africa. Kete hii imetufanya kuwa na nguvu hata yakuweka watawala ktk nchi za Africa na huu uwezo umetuvimbisha bichwa haswaaa ila kwa wale mnasoma thread zangu mtakubaliana na mimi nimekuwa nikilia na idara zetu na kwenendo wa siasa zetu nakuona tunako enda basi kazi itakuwa ngumu.
Nakumbuka kuzitaadharisha idara za Taifa yakuwa mchwa ako kwa nyumba na paa likianguka amesha tafuna nyumba.

M23 wapo vitani na hii vita sio rahisi itakuwa ngumu kwa sababu ya conspiracy. Kagame kwa vyovyote huu ndio muda wake kumalizana na Tz wala sio nini wala nini hayati mch Mtikila aliwahi tuambia wakamalizana naye mapema kwa sasa sio siri Rwanda wanatujuwa vema Tz hata tujificheje wanajuwa siri zetu na huu ndio muda wakumalizana na sisi. Kuanguka kwa serikali ya Congo DRC nikishindo cha maumivu kwa serikali ya Tz. Natusibishane hili laweza tokea labda kama maamuzi magumu yatatokea yaani nyani aone mwanaume atarudi nyuma. Tangu Nyerere mpaka JK Rwanda hajapoa...
Rwanda anawaona Wabantu ndio kitisho cha kesho ya Tutsi na Tz ndio mlezi... SA ndio walewale na alie namba mbili ni uzao wa SA japo kazaliwa Tz ila history inasema wangoni ni wa SA unaweza kuona why Kagame hawez lala.
Pili Kagame ndio chairman EAC je unategemea nini kwa mfano?
Najua kagame na museveni wana ajenda ya la paix tuxicana,lakini sahau hawatafanikiwa,na huyo kagame anayesifiwa hatathubutu kupambana na Tanzania
 
Tanzania hii isiyoweza hata kujisimamia yenyewe ndio inaamua maraisi wa nchi nyingine.

Inawezekana ilikuwa na influence enzi za Nyerere, sio sasa.

Inapaswa ukumbuke mbwa muongoza simba vitani ana uwezo mkubwa wa kudundwa kuliko simba anaeongoza mbwa.

Kwa sasa tunaongozwa 🐕, tunaweza kudundwa hata mafukara Burundi.

Na huyo Kagame is too overrated. Akitoswa na Belgium ki support, ni kama mwepesi tu.
 
Wacha Kagame awanyooshe tu.

Kagame yeye ubandidu wake anadeal na Majenerali wanaomuasi, Sisi bongo idara yetu inadeal na watoto wadogo kama Soka.

Huwezi kulinganisha Kagame mwenye akili na hawa wasiojielewa!
 
Warwanda akili kubwa.
Wapo kwenye vyeo vya juu police, TPDF, TISS n.k
Mmoja kashitukiwa akiwa lieutenant colonel kalala mbele.
Vyombo vya ulinzi na usalama Bongo vinatukuzwa sana ila deeply hamna kitu
Acha story za vijiweni,Ebu thibitisha ulicho kisema.
 
Uwa na pandikizi ndani ya serkali na idara nyeti si kitu kigeni duniani hata nchi kama USA, UK, ,China , Urusi n.k wapo, hii isikutishe usije ukashangaa kuwa hata yeye ni wakala wa TISS ndani ya Rwanda anayetaka kuasi au yuko kwa Mission na Makawala wenginge wapo huko. Ikitokea mbungi bamba to bamba ndio utajua Jeshi lipi lina weledi wa kutosha. Na ikumbukwe kuwa hata kikosi chote cha JwTz ndani Congo kiktekwa au kuuawa bado haifanya uje kuwa TPDF ni dhaifu HAPQNA kumbuka Rule of engagement, kuwa wako kule kulinda na si kushambulia M23 labda tu inapobidi hivi uwe kazi yako ni kukwepa tu ngumi opponent anaporusha hata kama unaona huu mkono umenyoshwa kwa style ya kuuvunja lkn huuvunji ni kazi kweli.
Jambo lingine intel info zinauzwa na mashirika ya kijasusi ya kimataifa yaani kuwa wahuni wanauza ramani kwa adui tena dabali yaani huku na kule hapa kama hunielewi basi.
Jambo lipo la msingi na sekondari kuwa kila mtu yuko kule kama mercernary tu wengine officially wengine kibabe tu kwa ajili ya shekeli hapasi D 2 zinahitajika bali kama umesoma tu shule za kata utaelewa.
Nipo hapa kigali mitandao yenu mnapoandika mnazua TAHARUKI kwa tutsi wanaogopwa kuvamiwa na SA kiwa na Tz kwa pamoja. Acheni kusababisha yafanyike mapinduzi kwa PK huyu ameshazeeka . Kigali ni wasafi na wakarimu sana, kesho nielekee rural areas wananiita Muganda🏃‍♂️
Hapo Kigali wanaiongeleaje Tz hasa kipindi hiki cha hii tension?
 
Wanasema Tz kama jeshi lao litaingia vitani watakosa hata pa kumbilia qanasema iko na uwezo wengine wanasema hawaiogopi, lkn majority wana hofu kubwa wanasema rais wao anatafuta tatizo na Tz ambao huwa hawamchokozi mtu
 
Shukran kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom