Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

Wazungu wanafurahi huu ujinga , they will make more money and dominate Africa.

Watu mko jumuia Moja badara ya kukuza biashara mko bize kuwa watu.

Rwanda Kwa sababu anaunga mkono wahuni waziwazi afukuze uanacha, ndege yake yeyote inayoenda Rwanda isiruhusiwe. Mipaka ifungwe kama watatoboa.
 
Kagame anafanya kuwaaminisha wanyarwanda kwamba Rwanda chini ya uongozi wake imekuwa na nguvu kubwa kijeshi kiasi cha kukabiliana na nchi zote za SADC, kaenda mbali zaidi hadi kuanza kuitunishia misuli South Africa.

Hii inampa mileage kisiasa na kuheshimika na kuogopwa, Jamaa anapenda kusujudiwa na anapenda kuogopwa, sasa ameona nchini kwake wananchi wanamlamba viatu kaona hapatoshi, ameanza kuleta udikteta wake kwa jirani zake.

Anapotoa kauli kama hizo kwamba yupo tayari kukabiliana na South Africa, wananchi wake nao wanakaa kwenye vijiwe wakiona Rwanda inaweza pambana na nchi yeyote Africa.

SANDF wana uwezo kupigana na Rwanda 10.
Nchi yenye military industrial complex kama SA si mchezo.
Japan alipoishambulia Pearl Harbor aliua askari 2300 wa USA, akajiona mwamba, kitendo kilichofanywa na US hadi leo imekuwa ni somo mashuleni wanafunzi wanasoma na kujibu mitihani.
 
Propaganda hizo vipi hivi Wamasai au Wajaluo wale ni Wakenya au Watz? Kwani mataifa mawili kuwa na jamii zenye kabila moja linalo fanana ni kitu cha ajabu?

DRC machafuko yale ni kutokana na rasilimali walizokuwa nazo,EU,US wanamtumia Kagame sababu ya Cobalt na Coltan ambayo inatumika kutengeneza mabetri ya simu na magari kwa ajili ya maslahi ya viwanda vyao.DRC peke yake ina zaidi ya asilimia sitini ya Cobalt ya dunia yote hapo hujazungumzia dhahabu, Almasi, Copper.

Msikilize mbunge wa Ubeligiji.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3DHivi vita US ,EU wakikaa pembeni inaisha na jimbo linakuwa na amani. Russia nae anampango wa kuingia ,kuwavurugia US na EU sababu anajua mchezo wao pale Rwanda na juzi kwenye baraza la umoja wa mataifa amewaambia Rwanda waondoke DRC.
 
Hiyo kauli anaitoa sababu nyuma anajua yupo na EU pamoja na US wanaompa jeuri, kwani wanamtumia kuiba Colbalt na Coltan ya DRC.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D
 
Mbona watanzania tunajiona wa kawida sana shida nini hasa? Hapa Afrika majeshi yanayo tuzidi skill labda ni taifa la falao tu
Mleta uzi ni mnyarwanda mkuu ilo lisikupe shida,, huyo baba yake mwenyewe paka anajua fika kabisa ya kuwa tz ndo baba wa majeshi kwa ukanda huu wa Africa mashariki na sadc labda South Africa na kwa vifaa tu ila sio skills
 
Kumbe hata Rwanda yenyewe huijui nguvu yake kijeshi. Wenzako wana iron dome, mtapigaje huto tubomu tuwili?
 
Mkuu hii ya kufuatwa na makomando hadi ikulu au story za Mburahati kijiwe cha draft?
 
Kumbe hata Rwanda yenyewe huijui nguvu yake kijeshi. Wenzako wana iron dome, mtapigaje huto tubomu tuwili?
Kwani hiyo iron dome haipigi?? Hii si ndo ilifeli kule Israel baada ya muiran kushusha vitu kutoka Tehran mpaka Mmarekani kaenda kufunga mfumo wake.. awe na mifumo ya ulinzi asiwe nayo kwa TZ Rwanda ni underdog kijeshi, utake ndo hivyo usitake ndo hivyo hivyo,, najua inakuuma watusi mpo wengi humu, huyo baba yenu paka mbona anamkoromea msouth Africa ambae yupo mbali hali ya kuwa mbongo yupo karibu na yeye pia kapeleka kikosi mbona hatufokei
 
Warwanda akili kubwa.
Wapo kwenye vyeo vya juu police, TPDF, TISS n.k
Mmoja kashitukiwa akiwa lieutenant colonel kalala mbele.
Vyombo vya ulinzi na usalama Bongo vinatukuzwa sana ila deeply hamna kitu
Uko mis informed ilikuwa bortion tu kwamba alitoroka wahuni walimalizana nae.
 
He he he..... Alifuatwa Ikulu na Makomandoo wa Tz? Hii chai dogo. Usizidishe chai.
 
Mnampamba sana huyu Slim
Nakuambia tukienda na fimbo tu atakimbia
Kiburi chote naona kuna Mzungu nyuma yake anaekula nae keki ya Congo
Hakuanza leo huko DRC bali tangu enzi za Kabila na Mwanae, watusi walikuwa wanapigana huko
 
Mkataba ulisainiwa March 23......wampe lile eneo vita iishe.....Kabila Sr. alifanya unafiki baada ya kusaidiwa.....BY THE WAY....AFRICA UNITE
 
We boya kumbe ni mtutsi...
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Nikusema hapo nyuma, pakianza kutukia Mashariki ya kati, pirate litacgezwa Afwika.

Huu ni mwanzo tu, Afrika ndio pira litachezwa sana, malighafi na mali asili ni nyingi kuliko mashariki ya kati.

Watu kama lussu watazamwe sana, ni nawakala wa shetani.
 
Hichi ndio kiini cha vita...
 
Ok.. ka video haka kidoogo kamefunguka.
 
Mawakala wa shetani tunawafahamu miandiko yenu, mna hamu tu ya kumtukana mama na Uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ