Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

Asante kwa wake up call,
ngoja tufaye fumigation kuua mchwa
 
Kagame hana interest na TZ, Wala hataki kuchukua DRC yote, Ni kivu na Goma tu, Ila hasa Kivu, Kama akipewa hilo eneo hutasikia vurugu tena, Ila akitulia anaweza kuihitaji Karagwe,

Sioni uwezekano wa M23 kuachia mji wa Goma, jumuia za kimataifa zipo kimya, SADC NA EAC zinapigwa ovyo ovyo, TZ yamebakia maneno ya kanga, taabu imetukuta waafrica
 
Warwanda akili kubwa.
Wapo kwenye vyeo vya juu police, TPDF, TISS n.k
Mmoja kashitukiwa akiwa lieutenant colonel kalala mbele.
Vyombo vya ulinzi na usalama Bongo vinatukuzwa sana ila deeply hamna kitu
Dah.. aisee..
Na unaandika kwa amani kabisa..
 
Mwabie huyo banyamulenge wako sasa kesho atangaze kijiji kimoja cha Tanzania kilicho mpakani ni mali ya Rwanda ndo tujue anao uwezo, kama siku hiyo hiyo Rwanda haijatangazwa kuwa mkoa wa Tanzania.
Amna kitu bana,mikwala mbuzi tu.
 
Huu upupu ndio akili yako ilikoishia?
 
South Africa ana hata na nuclear bomb. Ni nuclear power country!
 
NAto wamesanda kwa Putin kama SADC walivyosanda kwa PK.


Hapana Mkuu Kuna tofauti kubwa kati ya NATO na SADC, SADC hawajapigana na Rwanda na wala hawapigani na M23,Bali wanalinda amani,wakiamua kupigana Rwanda na M23 watashindwa mapema sana.
Sheria za kulinda amani ni ngumu sana.
Ila huko tunakoelekea Kuna uwezekano watu wakaamua kuipiga Rwanda yenyewe.
Kwa sababu ukitaka kumuua nyoka piga kichwa.
M23 ni kiwiliwili na Rwanda ni kichwa.
 
Hao Rwanda hakuna haja ya JWTZ kuingia vitani, watupe sisi jeshi la akiba (JKT mujibu wa sheria) tukamalize kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…