Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

Mnapenda sifa za kijinga eti tulikuwa ana nguvu ya kuweka watawala Africa,huu ndo ujinga mnaojiaminisha
 
Warwanda akili kubwa.
Wapo kwenye vyeo vya juu police, TPDF, TISS n.k
Mmoja kashitukiwa akiwa lieutenant colonel kalala mbele.
Vyombo vya ulinzi na usalama Bongo vinatukuzwa sana ila deeply hamna kitu
MToto wa 2000 utamwona
 
Vita ni kama ugonjwa wa Mlipuko. Ni rahisi kusambaa kwa kasi.

Mimi simo, wenye nchi zao pambaneni sisi wanyonge tutakuwa wakombizi tu.
 
Kwa kauli zake Mr Talll kwenda kwa SA unaona kabisa hiyo ni kauli ya kutengeneza diversions... Jw they are there on their own.

Ni mbaya sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ