Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 278
- 477
Kuna uwezekano wa Nyuma mwiko kuondoa Striker mmoja january??Striker raia wa Uganda, Fahad Bayo anawindwa na Young Africans baada ya kuachana na timu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwezekano wa Nyuma mwiko kuondoa Striker mmoja january??Striker raia wa Uganda, Fahad Bayo anawindwa na Young Africans baada ya kuachana na timu yake
NdiyoKuna uwezekano wa Nyuma mwiko kuondoa Striker mmoja january??
Kwahiyo dube kachemka?Fahad Bayo ni Mwananchi
Kwahiyo dube mnamtema sa itakuwaje?Fahad Bayo ni Mwananchi
Mbumbumbu una shida gani na Dube?Kwahiyo dube kachemka?
Umeishiwa hoja umeanza kutukana sasa? By the way dube ni straika libovu yaani kwa kifupi dube na andazi bora andazi.Mbumbumbu una shida gani na Dube?
Alikutoa bikra
Kwanini umewaza Dube kwanini hukuwaza kuwa ni replacement ya Musonda?Kwahiyo dube kachemka?
Uwezo wake upoje uwanjaniKarim kimvuidi kiungo mshambuliaji raia wa congo kutoka orlando pirates anawindwa na simba na deal lake linaweza kukamilika muda wowote that means fabrice ngoma bye bye.
Karim kimvuidi kiungo mshambuliaji raia wa congo kutoka orlando pirates anawindwa na simba na deal lake linaweza kukamilika muda wowote that means fabrice ngoma bye bye.
Hersi hana akili siku hizi?Israel Mwenda anatakiwa na Yang
Na kashamalizana na yanga bado kutambulishwa tu yeye na kelvin nashonHersi hana akili siku hizi?