Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Simba wanatakiwa Kuachana na wachezaji wafuatao.
KATI YA DIRISHA DOGO NA DIRISHA KUBWA.

1. Ayoub Lakred.
2. Valentino Nouma.
3. Karabue Chamoe.
4. Fabrice Ngoma.
5.Agustine Okejepha.

_____________________

6.Charles Ohua.
7. Joshua Mutale
We jamaa karabue camoe?
Augustine Okejepha??
Valentine Nouma
Joshua Mutale?? Una akili kweli au umezinya?
 
Hichilema Mkuu Vipi hali ya boka naskia atakua nje for long
Hichilema njoo utoe mwongozo.

Wewe ndiye mdau pekee ambaye uko jikoni, hivyo taarifa zako zina ukweli.

Pia usisahau kutujuza usajili unaoendelea hapo Unyamani ili tujue bado tuko na Urojo Ahua na Saido Mutale?
 
Simba inamfukuzia namba 10 wa kumpa changamoto Ahoua. Mutale yeye Changamoto atapewa na Mpanzu. Golikipa Ayoub Lakred anaondoka
 
Simba inamfukuzia namba 10 wa kumpa changamoto Ahoua. Mutale yeye Changamoto atapewa na Mpanzu. Golikipa Ayoub Lakred anaondoka
Nasikia kuna tetesi za uwezekano wa Mukwala na Okejepha kuondoka, hilo likoje?
 
TETESI: Saido Ntibanzonkiza kutambulishwa Jangwani muda si mrefu. Habari za uhakika zinapasha kuwa ameshamalizana na uongozi wa Yanga.
 
ZA NDANI KABISA: John Bocco kamalizana na uongozi wa Yanga. Kutambulishwa muda wowote kuanzia sasa.
 
Back
Top Bottom