Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Ningekuwa Kwenye Uongozi wa simba ningefyeka
Wachezaji wafuatao kwenye Dirisha kubwa na Dogo

1. Ayoub Lakred
2. Karaboe Chamoe.
3. Okejepha. (Japo nampenda sana kwa Nidhamu kujituma na uungwana)
4. Ngoma naye namkubari
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Ohua.

N:B HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI.
 
Hapo maana yake unavunja mikataba..halafu unanunua wengine..tuambie na Bajeti yako ya usajili ingekuwaje bilioni ngapi?
 
Ningekuwa Kwenye Uongozi wa simba ningefyeka
Wachezaji wafuatao kwenye Dirisha kubwa na Dogo

1. Ayoub Lakred
2. Karaboe Chamoe.
3. Okejepha. (Japo nampenda sana kwa Nidhamu kujituma na uungwana)
4. Ngoma naye namkubari
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Ohua.

N:B HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI.
Wangeanza na Ahua, Mutale, Ojajepha, Ayub, Chamoe kisha Ngoma nzito
 
Ningekuwa Kwenye Uongozi wa simba ningefyeka
Wachezaji wafuatao kwenye Dirisha kubwa na Dogo

1. Ayoub Lakred
2. Karaboe Chamoe.
3. Okejepha. (Japo nampenda sana kwa Nidhamu kujituma na uungwana)
4. Ngoma naye namkubari
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Ohua.

N:B HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI.
tatizo ni pesa ya kuwapa bada ya kuwavunjia mikataba pia kununua mibadala mingine kwa pesa tena kubwa
 
Back
Top Bottom