Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Nimeona mashabiki wengi huko juu wanalaumu kwa nini ITC hawakushughulikia mapema, pengine ni kutokufahamu tu... ITC ya mchezaji wa nje huwa inaombwa pale dirisha la usajili la nchi husika linapofunguliwa ili kuwezesha mchezaji kuwa registered. Huwezi kuomba Itc kama hakuna dirisha la usajili...
 
Umeonhea nilichotaka kusemwa..usajili umeenza tarehe 15..kuwa na mchezaji miezi miwili ilikuwa ni kipindi tu cha kuzoeana na wenzie
 
Kitumbua Cha Lameck Lawi kwenda Young Africans kinatiwa mchanga na Ubaya Ubwela wanaodai ni mchezaji wao na yuko Coastal Union Kwa mkopo. Yanga wanaangalia uwezekano wa kumpata beki mwingine namba 37 hapo juu
 
Back
Top Bottom