Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili Allan Okello
Huyu hata Tabora Utd hapati namba
Screenshot_20241216-144944.png
 
Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili Allan Okello
Baada ya kupatia kwa kiasi kikubwa usajili wa dirisha kubwa wanataka tena kuanza upuuzi wao wakuwaleta wakina Jobe na Koublan wengine. Simba kama wapo serious kweli wamsajili mmojwapo kati ya Fei Toto, Forsy au Kimvudi hao ndio replacement ya uhakika ya Mutale ambaye Simba imekuwa kubwa sana kumzidi uwezo. Halafu watafute fowadi mwingine wa kumreplace Mukwala maana huyu huwa hata simwelewi muda wote namuona anakimbia kimbia bila mpangilio kule mbele. Tofauti na hivyo bora wasisajili kabisa dirisha hili ijulikane moja.
 
Lazima wapigaji wameingia wanataka kufanya usenge wa mwaka jana amajuzi,
Nina uhakika hao wachezaj wanaoletwaga wabovu hua ndo wako na uwezo wa kukubali kutoa 10% ili wafanyiwe mpango wasajiliwe..ukiona wachezaji wabovu wanazurura uwanjani jua ni 10% za watu hizo...
Mtu wa maana kama fei unamuombaje 10% ili asajiliwe..na wakat uwezo wake ndio unaongea atakuambia naipenda timu yako ila kama huwez kuweka pesa nayoitaka mezani basi kwaheri..
 
Allan okello kwangu mimi nadhani ni mchezaji mzuri sana tofauti na huyu Budo! Kuitwa national team ya uganda, performance yake waoow superb, nadhani anaweza kutusaidia japo nitakuwa na hofu upande wa experience na uzito wa jezi ya simba!

Ningekuwa mimi nadhani DENIS OMED angetusaidia zaidi kuliko OKELO
 
Back
Top Bottom