Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Kuna uwezekano kati ya kocha Sead Ramovic au Kheireddine Madoui kuchukua nafasi Miguel Gamond, Young Africans
 
Umri nadhani ni tatizo, hakimbii sana kama wengine,nishati yake ipo chini,hafiki kwa wakati kwenye matukio. Wapo sahihi wamteme tu wamlete kiungo mwingine mdogo.
Sema kwa kiwango alichokionyesha mpaka sasa toka apate nafasi, naiona nafasi yake Simba japo sio ya game zote wala dakika 90, hatuna kiungo wa aina yake, tungemuacha hadi next season ndio tumpe mkono wa kwaheri
 
Inaonekana Miguel Gamond ndiye amelazimisha kuondoka Young Africans Kwa kuwa amepata ofa nzuri kutoka Uwarabuni. Matokeo ya hivi karibuni na vitendo vya utovu wa nidhamu ni kati ya mbinu hizo
 
Sema kwa kiwango alichokionyesha mpaka sasa toka apate nafasi, naiona nafasi yake Simba japo sio ya game zote wala dakika 90, hatuna kiungo wa aina yake, tungemuacha hadi next season ndio tumpe mkono wa kwaheri
Hicho ni kiwango cha kutafutia mkataba mpya
 
FB_IMG_1731661569826.jpg
 
Sema kwa kiwango alichokionyesha mpaka sasa toka apate nafasi, naiona nafasi yake Simba japo sio ya game zote wala dakika 90, hatuna kiungo wa aina yake, tungemuacha hadi next season ndio tumpe mkono wa kwaheri
Halafu dirisha dogo tusisajili mchezaji wa kigeni? Coz sasa hivi simba tunahitaji namba 10 upgrade ya ahoua. Yes dk hz za mwisho kaubonda mwingi but age tatizo halafu hatuna shida ya no 6 wala 8.
 
Back
Top Bottom