nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ibrahima Seck tuko serious nae?Mashaka ana potential ya kuwa mchezaji mkubwa zaidi ya Saaduni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibrahima Seck tuko serious nae?Mashaka ana potential ya kuwa mchezaji mkubwa zaidi ya Saaduni
NdiyoIbrahima Seck tuko serious nae?
Lipeni kwanza madeniIbrahima Seck tuko serious nae?
Kocha mpya? Mbadala wa gamondi siyo?Kocha Abdelhamid Moalin atakuwa kocha msaidizi wa Young Africans akimsaidia kocha mkuu mpya
YesKocha mpya? Mbadala wa gamondi siyo?
Kocha gani tena yanga wanaleta wakati gamondi mtu na nusu
Hizi tetesi mbona hazina elia mpanzuuu1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans
2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakimmowa na Simba SC
3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji
4. Kiungo raia wa DRC, Harvey Onoya anatakiwa na Yanga
5.Kiungo Mbrazil, Bruno Gomez anaweza kurejea Singida Black Stars
6. Kuna uwezekano mkubwa Kwa mchezaji wa Singida Black Stars kupelekwa Young Africans Kwa mkopo/ makubaliano maalumu
7. Kibwana Shomary anatakiwa KMC Kwa mkopo
8. Beki Lameck Elias Lawi anaweza kusajiliwa Simba dirisha dogo au kubwa. Yanga na Azam pia zinamfukuzia
9. Fredy Michael Koublan anatakiwa na Young Africans
10. Kuna mtifuano unaendelea kati ya kocha Gamond, baachi ya wachezaji wa Yanga.
11. Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba
12. Sabri Kondo anatakiwa na Simba SC
13. Charles Senfuko anatakiwa Simba SC
14. Salim Mwalimu anatakiwa Azam FC
15. Kambou Dramane anawindwa Simba na Yanga
16. Ibrahima Seck anstakiwa Simba SC
17. Kocha Abdelhamid Moalin atakuwa kocha msaidizi wa Young Africans akimsaidia kocha mkuu mpya
18. Jonathan Sowah amesajiliwa Singida Black Stars
Ohooooo...mzee ndio umepata smartphone leo niniHizi tetesi mbona hazina elia mpanzuuu
Ni kwa sababu ni done dili na kashatangazwaHizi tetesi mbona hazina elia mpanzuuu
Mwarabu. Moalin atakuwa mkalimani wake. Kama Kaze kwa NabiKocha gani tena yanga wanaleta wakati gamondi mtu na nusu
Duuh hawa singida mbona wanabalaa vyuma wanavyoshusha vina hadhi kabisa ya kukipiga kariakoo wanataka nini hawa jamaa? Hivi adebayoo yuko wapi mbona simuoni akicheza.Jonathan Sowah amesajiliwa Singida Black Stars
Alichelewa kufika hivyo hajawa fit ila yupoDuuh hawa singida mbona wanabalaa vyuma wanavyoshusha vina hadhi kabisa ya kukipiga kariakoo wanataka nini hawa jamaa? Hivi adebayoo yuko wapi mbona simuoni akicheza.
Hizo ni kodi zetuDuuh hawa singida mbona wanabalaa vyuma wanavyoshusha vina hadhi kabisa ya kukipiga kariakoo wanataka nini hawa jamaa? Hivi adebayoo yuko wapi mbona simuoni akicheza.
Na kweli simba ijitahid sana kua siriaz nae.Ibrahim seck ana miaka 20 tu anajua sana na kaitwa timu ya taifa ya senegal inabidi tukomae tumpate mapema kabla hajaenda ulaya. Naona wanamuita timu ya taifa kumsafishia njia ya kwenda ulaya tukimkosa abdelhay forsy atatufaa.
Ibrahima Seck anakuja kuchukua nafasi ya nani?Ibrahim seck ana miaka 20 tu anajua sana na kaitwa timu ya taifa ya senegal inabidi tukomae tumpate mapema kabla hajaenda ulaya. Naona wanamuita timu ya taifa kumsafishia njia ya kwenda ulaya tukimkosa abdelhay forsy atatufaa.
Mwigu ndo anamwaga mihela hapoHizo ni kodi zetu