jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Valentino huyu ambaye ameshaanza kumsaidia Zimbwe? We jamaa vpSimba wanatakiwa Kuachana na wachezaji wafuatao.
KATI YA DIRISHA DOGO NA DIRISHA KUBWA.
1. Ayoub Lakred.
2. Valentino Nouma.
3. Karabue Chamoe.
4. Fabrice Ngoma.
5.Agustine Okejepha.
_____________________
6.Charles Ohua.
7. Joshua Mutale
Hao wachezaji uliowataja hapo bado wana contribute vya kutosha as of now ambapo timu haijalmaliza hata mwaka mmoja tokea waletwe.