Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans
2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakiwa na Simba SC
3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji
4. Kiungo raia wa DRC, Harvey Onoya anatakiwa na Yanga
Mwamba wa taarifa za ukweli.....Sasa elie mpanzu kashatua Simba ngoja ucheki mavitu vitu
 
Ila utopolo wana chuki mbaya sana na simba na rais wao ana roho mbaya kama ya magaidi wa hamas, eti nyinyi azam tunawapa mkataba huu msimpeleke feisal timu ya simba tu, nyingine ruksa ..
Mikisoni bonge kwani ilikua vipi. Au kunya anye kuku tu?
 
ni kweli hayo magarasa hayana tofauti na dube mechi ya 8 hii hana goli hata la offside?
Dube siyo galasa, anafanya kila kitu kwa usahihi ni bahati tu hajapata, na uwezi kumhukumu mchezaji kwa mechi 7 ambazo hakumaliza dakika 90!

Wanaopiga makelele kuhusu dube ni makolo, wanaijua vizuri shughuli yake🤣
 
Kuna kitu hakiko sawa. Kikiisha ataanza kufunga. Hopefully leo au mechi ijayo
 
Hivi tetesi za Jonathan Alukwu kuja Simba Zimeishia wapi
 
kocha Gamond, baachi ya wachezaji wa Yanga. Kikao Cha Jana usiku kocha aligoma kuhudhuria
 
Back
Top Bottom