pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Sajili zao ni za mihemko na kukomoa. Simba ilikua huko ila ikaona haina faida yoyote sasa wanasajil kwa malengo maalum.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sajili zao ni za mihemko na kukomoa. Simba ilikua huko ila ikaona haina faida yoyote sasa wanasajil kwa malengo maalum.
Jamaa ana kiburi na mazarau mengi...kama anaweza kumpiga ngumi kocha mwenzie sembuse hio ya kutokuja kwenye kikaokocha Gamond, baachi ya wachezaji wa Yanga. Kikao Cha Jana usiku kocha aligoma kuhudhuria
Ungeweka na wachezaji wanaokwenda kuwatoaAbdelhay Forsy, Sabri Kondo and Charles Semfuko to Simba?
Yeskwahiyo kikao kilifanyika bila kocha?
Ungeweka na wachezaji wanaokwenda kuwatoa
Lawi baada ya zile sarakasi , wa kaz gani sasaKuelekea dirisha dogo mwalimu fadlu anataka kusajili wachezaji watatu tu.
Winga mmoja: Tayari mpanzu kashasajiliwa.
Kiungo mshambuliaji mmoja: za ndaani wanamtaka kiungo mmoroco.
Beki mmoja wa kati: hapa anaweza kuwa lameck lawi au mwingine yoyote.
Mutale haondoki. Hapo labda LakredLameck Lawi anaenda kuchukua nafasi ya kazi.0
Semfuko ni mchezaji mzawa so hana idadi.
Abdelhaly forsy anakuja kuchukua nafasi ya mutale.
lakred anampisha mpanzu hiyo ni lazima. Kama ni hivo basi dirisha dogo simba hawatasajili mchezaji wa kigeni.Mutale haondoki. Hapo labda Lakred
Bek wa kulia, Bek wa kat, kiungo mwingine kama mavamboHivi simba wanaitaj kuongeza mchezaji gani au nafas ipi inaitajika sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]Nilikuwa na maongezi mafupi na Injinia Hersi (hata mimi ni injinia kwa hiyo tunaelewana sana) akaniambia kuwa yanga imeamka na sasa hivi dozi za tano tano zinaanza tena kwa sababu ya "YANGA BINGWA."
Duuuh ni kweli ??Kama nilivyoripoti kuhusu Gamondi kutohudhuria kikao, taarifa za hivi punde ni kuwa kaachana na Yanga
Watakua wamefanya kosa kubwa sanaKama nilivyoripoti kuhusu Gamondi kutohudhuria kikao, taarifa za hivi punde ni kuwa kaachana na Yanga
Huu ndio mfano wa wananchi wanaohitaji katiba mpyaMental case.
😄😄😄 Fred funga funga!
Mmeacha kuisajili wachezaji uwanja wa ndege?Sajili zao ni za mihemko na kukomoa. Simba ilikua huko ila ikaona haina faida yoyote sasa wanasajil kwa malengo maalum.
tumeacha ndio maana tunaongoza ligi.Mmeacha kuisajili wachezaji uwanja wa ndege?