Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Kocha Abdelhamid Moalin atakuwa kocha msaidizi wa Young Africans akimsaidia kocha mkuu mpya
Kocha Mkuu Mpya!??kama ni hivyo kocha mpya si hua anakuja na benchi lake?
 
Foday trawally ni omar jobe mwingine huyo jamaa tangu september 10 hana timu na hajawahi kucheza shirikisho wala klabu bingwa hana uzoefu na mpira afrika kacheza ligi za ulaya vijijini huko.
Avatar yako imeniacha mdomo wazi.
 
Inaelekea kupinduka
Lawi baada ya yale mapicha picha wa nini mkuu kwenye timu yetu? Kama mtu alikua ana mapenz ya kweli na timu angeweka msimamo tangu mwanzo kwamba mimi naenda simba baaas, huyo akienda yanga ndio mpira wake utaishia huko.
 
Mbona Mpanzu tumempokea mkuu...

Mimi nafikiri tungejitahidi kumpata Lawi ili tuwe na kikosi kipana.
 
Back
Top Bottom