Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Hata timu hana ?
 
Hata timu hana ?
Umeelewa nilichokwambia, katoka kwao kagoma kuongeza mkataba, wakala mmoja akamshawishi waje bongo, ukizingatia nae tamaa yake ilikuwa kuja bongo, akagoma kusaini akaja bongo, ila huyu wakala connection ndogo sana ni mgeni kwenye gemu inaovyoonekana ye alidhani baada ya kumchukua huyu maestro itakuwa rahisi sana kwa yeye, kumbe hajui ni connection kwanza na sio kiwango wala ujuzi, bongo wamekuja kucheza kina sawadogo, jama mba, kacheza ditrim nchimbi, yikpe, yule striker wa msimbazi aliyekamatwa kavaa hirizi na wengine kibao.

Kujua ni kitu kingine na kutofanikiwa ni jambo jingine.
Mimi nimemshuhudia, na nikashamgaa kwanini hana timu, kuongea nae tukawa washikaji kimtindo nikayajua mengi, kacheza ligi kuu ya kwao zaidi ya misimu mi5, kacheza under 23, ukiingia youtube utamuona clips zake nyingi, clips nyingine ni touches zake za game 1 tu, nyingine raia wanalalamika hajaitwa national team, nadhani ile ilikuwa ni team ya CHAN.
 
Simba wanatakiwa Kuachana na wachezaji wafuatao.
KATI YA DIRISHA DOGO NA DIRISHA KUBWA.

1. Ayoub Lakred.
2. Valentino Nouma.
3. Karabue Chamoe.
4. Fabrice Ngoma.
5.Agustine Okejepha.

_____________________

6.Charles Ohua.
7. Joshua Mutale
wewe shabiki wa yanga unapata wapi mamlaka ya kutupangia sisi wachezaji wa kuwaacha?
 
Ila utopolo wana chuki mbaya sana na simba na rais wao ana roho mbaya kama ya magaidi wa hamas, eti nyinyi azam tunawapa mkataba huu msimpeleke feisal timu ya simba tu, nyingine ruksa ..
Kama ilivyokuwa kwa Chama na Konde boy walivyoenda uarabuni kwamba wasirudi timu nyingine isipokuwa Simba
 
MIMI NINGEKUWA MO NINGESHUSHA BUNDUKI ZIFUATAZO NA HAKUNA TIMU INGENIFUNGA AFRIKA.


1.THIERRY MANZI BEKI WA KULIA NAMBA 2: HUYU JAMAA ANASTAHILI KABISA KUWA MRITHI WA BABA ESTHER PALE UNYAMANI. ANA KASI,ANA ENERGY,ANA TANKI, ANA OVERLAP,ANAPIGA KROSI ANAJUA SANA.

2.AMRI SIAD KIUNGO NAMBA 10: ANAJUA HALAFU ANAJUA TENA.

3.FILIPE KINZUMBI: WOTE TUNAMJUA HUYU.

4.ARTHUR BADA:SIMBA KWA UJINGA WETU TULIMKATAA TUKAAMUA KUBAKI NA NGOMA.

5.FAILA SUFI: MZEE WA MIUNO GUINEA WANAMJUA VIZURI. KULE ZANZIBAR ULIPIGWA MUWA CAMARA AKATAKA KULIACHA GOLI NA KUKIMBIA.


MBAVU MOJA ANAKULA MPANZU, MBAVU NYINGINE ANAKULA KINZUMBI, HALAFU NYUMA YAO ANACHEZA FAILA SUFI, MBELE ANAMALIZA ATEBA. UNAFUNGWAJE SASA?
 
USHAURI WA BURE KWA VIONGOZI WA SIMBA.

DIRISHA DOGO TUSISAJILI KWA MIHEMKO NA KUKURUPUKA. TUSAJILI WACHEZAJI WAWILI TU KAMA ITAWEZEKANA MCHEZAJI MMOJA MZAWA HALAFU MWINGINE AWE WA KIGENI.ZA NDAAAANI KABISA FAILA SUFI ANAWEZA KUTUA UNYAMANI SO NADHANI KAMA TUTAMPATA FAILA SUFI AMBAYE ANAWEZA KUCHEZA KAMA NAMBA,TUMSAJILI ARTHUR BADA KAMA MBADALA WA NGOMA KAMA ITASHINDIKANA BASI TUBAKIE NA NGOMA HALAFU KWENYE DIRISHA KUBWA TUTAFUTE NAMBA 10 MWINGINE, BEKI NO 2 MWINGINE, MBADALA WA NGOMA, MBADALA WA MZAMIRU AWE MZAWA.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Sufi haitawekana dirisha dogo kwa kuwa hawezi kutumika kimataifa. Badda ni mzito anakamia mechi kubwa tu kama Akaminko
 
Sufi haitawekana dirisha dogo kwa kuwa hawezi kutumika kimataifa. Badda ni mzito anakamia mechi kubwa tu kama Akaminko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…