Mkataba wa awali wa Fei kwenda Azam ulikuwa wa miaka miwili na ulishatamatika. Alishasaini mwingine wa miaka 2 umebaki mwaka mmoja hivyo kipengele cha bilioni moja za Yanga kilishakufaItabidi Yanga alipwe pesa pia. So dau la Fei kwenda Simba ni pesa ndefu Simba itatoa kuliko Yanga wakitaka kumrejesha. Ila yote inawezekana sababu hakuna kinachosindikana mbele ya fedha.
Kasaini timu gani?Feitoto tayari kaini, Simu ya kiongozi haijafua dafu. Dili lilipangwa toka msimu jana
Hizi habari uwa unamuandikia mkeo kitandani au?Feitoto tayari kaini, Simu ya kiongozi haijafua dafu. Dili lilipangwa toka msimu jana
leo usiku atatambulishwa simbaHizi habari uwa unamuandikia mkeo kitandani au?
Unaleta habari nusu nusu ukiulizwa maswali utaki kujibu.
Kama alivyotambulishwa Mwalimu siku ile ya simba day siyo!!K
leo usiku atatambulishwa simba
Anhaaa, sawa mkuu nimekuelewa. Lakini je unaona kuna uwezekano wa Simba kufanikiwa kumsajili mchezaji ambae pia anatakiwa na Yanga kwa nguvu kubwa?Mkataba wa awali wa Fei kwenda Azam ulikuwa wa miaka miwili na ulishatamatika. Alishasaini mwingine wa miaka 2 umebaki mwaka mmoja hivyo kipengele cha bilioni moja za Yanga kilishakufa
Bila ya shaka kiongozi huyu ni kutoka ..ngidaFeitoto tayari kaini, Simu ya kiongozi haijafua dafu. Dili lilipangwa toka msimu jana
Keep an eye on Allan Okello
Kuna timu ya nje inamtakaOhooo tit for tat au vipi
We jamaa hua nimuongo sana daah. Sijui nini kilikukuta wakati zamani ulikua unatoa tarifa za uhakika bila kua na upandeFeitoto tayari kaini, Simu ya kiongozi haijafua dafu. Dili lilipangwa toka msimu jana
Kwamba kiongozi kuingilia usajili haiwezekani? Uko Tz gani wewe?We jamaa hua nimuongo sana daah. Sijui nini kilikukuta wakati zamani ulikua unatoa tarifa za uhakika bila kua na upande
Bongo kuna taste yake kwenye hizi timu. Haaa haaa full kutambianaNimeona sehemu wanaprint bango kuuuubwa lina picha ya Faila Sufi akiwa na uzi mwekundu
Nlisemaga timu ya utopolo hua kuna wanasiasa nyuma ya timu hio, na ushahidi umeonekana Leo mbulula MMOJA wa ccm Kauli za leo mahali kua kama Simba wanasumbua tena wamchukue mwingine...means wao ndio waharibifu wakubwa wa ligi ya Tanzania..wao ndio huwaamrisha marefa kukaa UPANDE WA utopolo na ndio mana leo mmbulu wa yanga anaenda kuchezesha derby na wakati tuliakubaliana kua derby zote Sasa zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya Tanzania...tunajua Wana pesa ila hizo pesa zao ni blood money na pesa za ufisadi, WAACHE mchezaji achague au aende sehem anayopenda na sio kutumia ushawishi wa kisiasa na pesa za kifisadi na za damu...rubbish.Feitoto tayari kaini, Simu ya kiongozi haijafua dafu. Dili lilipangwa toka msimu jana
Ikawe heri. Yani wewe timu ilikuondoa kwa nyodo DHARAU nyingi na matusi juu ..leo hii urudi huko? Ni mgonjwa wa akili tu atakubaliNimeona sehemu wanaprint bango kuuuubwa lina picha ya Faila Sufi akiwa na uzi mwekundu
Watoto wadogo hao usishangae mkuu wanajua nini?Kwamba kiongozi kuingilia usajili haiwezekani? Uko Tz gani wewe?