timu ya utopolo ni moj ya timu yenye roho mbaya sana na roho ya kisasi na husda ..ila sababu rais wa hio timu anayotaka kwenda kashaswma ana "mahaba" na injinia wa mchongo basi labda Dili litakua rahisi na mwalimu ndio chamboKeep an eye on Allan Okello
Wewe ni hawala yangu ?Hizi habari uwa unamuandikia mkeo kitandani au?
Unaleta habari nusu nusu ukiulizwa maswali utaki kujibu.
Kwani umemuajiri mpaka utake kumwajibisha? Uletaji wa habari humu ni utashi sio lazimaHizi habari uwa unamuandikia mkeo kitandani au?
Unaleta habari nusu nusu ukiulizwa maswali utaki kujibu.
Huu mpango wa Mawardat na uran pia lazima atie timuSiongezi neno,
Hapo Scars roho kwatu na anahamia jangwani maana CR7 ni njano na kijani.
View attachment 3636854
Hapana ni mumeo.Wewe ni hawala yangu ?
Naona mwasibu umekuja kasi kumtetea kolo mwenzio.Kwani umemuajiri mpaka utake kumwajibisha? Uletaji wa habari humu ni utashi sio lazima
Kuweni serious 😃
NdiyoWakuu, habari za Azizi Ki kurudi Yanga zina uhalisia wowote ule?
Anacheza nafasi gani?Pape Abdou Ndiaye anatakiwa na Simba
Ni striker sio? Itakuwa vizuri kwa Simba. Ningependa Simba na Yanga zifike mbali kimataifa though mimi ni Yanga.Pape Abdou Ndiaye anatakiwa na Simba