Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Kikosi Cha Simba hadi muda huu
1. Ayoub Lakred
2. Kapombe
3. Hussein
4. Lawi
5. Malon
6. Okajepha
7. Kramo
8. ......
9. Mukwala
10..................
11. Mutale
 
Kikosi Cha Simba hadi muda huu
1. Ayoub Lakred
2. Kapombe
3. Hussein
4. Lawi
5. Malon
6. Okajepha
7. Kramo
8. ......
9. Mukwala
10..................
11. Mutale

Kwanzi kiungo hadi safu ya ushambuliaji ni sura ngeni hapo inatakiwa timu ipate benchi la ufundi mapema sana na timu ianze mapema sana pre season ili kupata chemistry
 
Kwanzi kiungo hadi safu ya ushambuliaji ni sura ngeni hapo inatakiwa timu ipate benchi la ufundi mapema sana na timu ianze mapema sana pre season ili kupata chemistry
Hakika
 
Kikosi Cha Simba hadi muda huu
1. Ayoub Lakred
2. Kapombe
3. Hussein
4. Lawi
5. Malon
6. Okajepha
7. Kramo
8. ......
9. Mukwala
10..................
11. Mutale
Wengine ie Ngoma, Babacar, Putin…
 
Abdallah Hamis anaondoka. Si kila mchezaji ni first choice, wengine huja kuongeza upana wa kikosi
Upana gani bosi zaid ya kurundika machezaji( magalasa) mengi bila mpango ..hizo ndo sajili za 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…