Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachezea timu ganiSteven Mukwala amejiunga rasmi Simba
Ni nani na ametokea wapi? Kila mchezaji mwaka huu anasajiliwa Simba. Hiyo ni dalili ya kupanick.Steven Mukwala amejiunga rasmi Simba SC
Asante Kotoko, GhanaAnachezea timu gani
Kikosi Cha Simba hadi muda huu
1. Ayoub Lakred
2. Kapombe
3. Hussein
4. Lawi
5. Malon
6. Okajepha
7. Kramo
8. ......
9. Mukwala
10..................
11. Mutale
HakikaKwanzi kiungo hadi safu ya ushambuliaji ni sura ngeni hapo inatakiwa timu ipate benchi la ufundi mapema sana na timu ianze mapema sana pre season ili kupata chemistry
Wengine ie Ngoma, Babacar, Putin…Kikosi Cha Simba hadi muda huu
1. Ayoub Lakred
2. Kapombe
3. Hussein
4. Lawi
5. Malon
6. Okajepha
7. Kramo
8. ......
9. Mukwala
10..................
11. Mutale
Upana gani bosi zaid ya kurundika machezaji( magalasa) mengi bila mpango ..hizo ndo sajili za 10%Abdallah Hamis anaondoka. Si kila mchezaji ni first choice, wengine huja kuongeza upana wa kikosi
Huyu anaweza kuondoka aise, hao kaizer wana pesa balaa na wamepania kumpa mkataba mzuri mnono sana ,, target huyo, bacca wa yanga, wote nabi kasema anawataka na kashawaambia uongozi wa timu yake mpya.Feisal Salumu to Kaizer chiefs?
Ametoa milioni 700 aliyokua anadaiwa au amelipiwa na gsm..azam.hawana mambo ya kiswahili.Dube atua Yanga rasmi baada ya kumalizana na Azam FC
Waswahili huwa hamuishiwi lawama. Wasingesajiliwa wapya ndio mngekesha humu kwa lawama pia.Upana gani bosi zaid ya kurundika machezaji( magalasa) mengi bila mpango ..hizo ndo sajili za 10%
Timu za bongo hua zinajaza sana wachezaj karibu 30, sijui kwann wasiwe na wachezaj 25 alf watano wanatoka kwenye timu ya Bocco kwa game baadhi zileUpana gani bosi zaid ya kurundika machezaji( magalasa) mengi bila mpango ..hizo ndo sajili za 10%
Sioni shida ya Fred mbali na mihemko ya watu wasiojua mpira
Nini tena MkuuMhhh!