Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Aubin Kramo hatokuwa tena Simba kama niliporipoti hapo awali. Ujio wa Mutale, Ahoua na Mpanzu unamuondoa Simba SC. Nina majonzi
Mpanzu bado ana mkataba na As vita

Kuna tarifa bado wana project nae..

Una uhakika atasinya kwetu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…