Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi zote nitaziamini ila za Simba kama zitakuwa za kwenda kuvunja mkataba wa mchezaji kwenye timu yake,,, hizo sitoziamini kabisa lamda mchezaji huru hapo nitaamini
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.



 
naona wengi wanawindwa na simba mwisho wa siku anaweza ambulia kula majani tu
 
Chama, Dube na Yusuf Kagoma
Tayari ni wananchi
Ukibisha ni jeuri yako tu
 
Mabingwa wa nchi Yanga Afrika wanangalia uwezekano wa kupata saini ya kiungo mshambuliaji wa Azam FC raia wa Ivory Coast,Kipre Junior.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…