Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Sema na hili..
Matimu mingi inamtafuta(Mpanzu)lakini majamaa zangu ni Simba..Papii..wakala wa Mpanzu..
 
Huo moto awapelekee wazee wake huko kijijini wakaote, huku Dzim ni joto, hivyo huo moto wake hatuna kazi nao.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Deal la Elia nalo limefikia wapi?.
Naona watu wanapigana vikumbo kila mmoja akiongea lake
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Kibu anafuzu vizuri tu majaribio wala hilo halina shida kabisa, uzuri wa yule jamaa anafindishika vizuri mno
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Namin wana Bilioni 2.7 Tanzania shillings za kuweka kwenye akaunti ya simba sports club.
 
Kibu anafuzu vizuri tu majaribio wala hilo halina shida kabisa, uzuri wa yule jamaa anafindishika vizuri mno
Anafundishika kwenye kukimbia, kukaba na kuwakanda yanga.

Ukitoa hivyo kibu ni mpoteza mipira mzuri na papara kibao mwishoe anapoteza nafasi.

Wenzetu wanataka mtu anaekimbia na mpira sio anaekimbiza mpira.
 
Viongozi wa Simba wengi pale ni madalali! Hawawezi kuchukua maamuzi yeyote ya kinidhamu! Hapo kuna viongozi wako nyuma ya kibu denis wanamuongoza ili wapate pesa kwenye hizo sarakasi zake!
Simba ili ipate mafanikio lazima bodi ya watu wajuaji iondoke na utumike mfumo kama wa yanga wa GSM kumuweka mfanyakazi wake ili aongoze! Ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo.
 
Hatutaki mfumo wa kiungu mtu, mfumo wa kutukuza mtu, anataka kuchukua mkopo kwa dhamana ya mali za club huo mkopo utalipwaje,

mtakuja kupita kwenye tanulu la moto hamtoamini, hamna mkataba na GSM ni mdhamini tu akiamua kusepa leo na kuwaachia mlipe madeni si yanarudi yale ya kutembeza bakuri

wale akina mzee magoma si wajinga,
 
Philippe Kinzumbi has asked Raja Club Athletic to terminate his contract. [emoji599]

He’s refusing to travel to join the team for pre season.

Wachezaji wa Congo Wanashida gani, huyu Kinzumbi kapatwa na nini mpaka atake kuvunja mkataba
 
Anafundishika kwenye kukimbia, kukaba na kuwakanda yanga.

Ukitoa hivyo kibu ni mpoteza mipira mzuri na papara kibao mwishoe anapoteza nafasi.

Wenzetu wanataka mtu anaekimbia na mpira sio anaekimbiza mpira.
Asipopita ok, ila Akipita nafasi ya majaribio akasajiliwa wewe ndo utakuwa ni mwongo au wao ndo hawajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…